Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

500mb???? huna matumizi yoyote mkuu unachosha Jf kwa nyuri uchwala wangekupa mb1 kabisa mkamalizana hukohuko.
 
Hahahah mtapigwa mtachakaa mwaka huu 😂😂😂!!! Mnapenda kukaza ubongo sana watanzania wacha mie niendelee kuinjoy
 
Njoeni Halotel mimi nimehamia huku loyal bandle elfu kumi unapata dakika 1000, Gb 14, sms bwerere mwezi mzima nishasahau kuweka vocha natwanga tu mitandao yote
Hahahahah kama hiko kifurushi kitamaliza mwezi wa pili huu uje nikupe bia zako mkuu;
 
Ni suala la muda mkuu.
Katika moja ya sifa ya huduma bora lazima iwe Reliable. Ila hali ni tofauti kwa hii mitandao mitatu mikuu ntaiita "3 Musketeers" Voda, Tigo na Mpwa wao Halotel.

Wao reliability ya vifurushi pendwa kwao haitoboi miezi miwili. Kila siku vifurushi vinapinduliwa tu left & right! Ila nashukuru mtandao niliopo mwaka wa 3 i still enjoy the same quality of service. Toka nimewahama hao matapeli sijawahi kujuta.
 
Nikuunganishe na mtandao wa majini ?
 
Tutonyane hilo chimbo mkuu
 
Unatumia mtandao gani bashwee ?
 
Kwanza kuhama mitandao ni tabia za kitoto. Watu wanakutafuta kwa namba fulani waliozoea hupatikani inakuaje???
 
Kwanza kuhama mitandao ni tabia za kitoto. Watu wanakutafuta kwa namba fulani waliozoea hupatikani inakuaje???
Kwani si kuna simu extra mkuu, unaweza kuwa na Primary phone(Smartphone) na Secondary Phone (Kitochi). Kila simu inabeba line 2. Mitandao iko Mitano So problem solved.
 
Kama ni voda unawasingizia. Japo huwa wana huo ujinga mara mojamoja lakini mimi nafurahia huduma zao nzuri kwa bei ya juu[emoji16][emoji16] 1GB nadownload movies 2 zenye 400MB @ na bado naperuzi jf na whatsap kwa muda wa kutosha
Yawezekana Wana upendeleo
 
Njoeni Halotel mimi nimehamia huku loyal bandle elfu kumi unapata dakika 1000, Gb 14, sms bwerere mwezi mzima nishasahau kuweka vocha natwanga tu mitandao yote
Halotel ukiwa nje ya mji tu kidogo internet inazidiwa kasi hata na kinyonga
 
Ni kweli wamepunguza hata kwangu, Ila ile ya 150dk na 500mb kwa wiki bado ipo, kwangu ndio inayonipa jeuri kwa Airtel. Wakiitoa hii nahamia halotel
500mb mimi hazinitoshi hata kwa siku. Shughuli nyingi nafanyia mtandaoni. Wacha nijaribu ttcl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…