Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

Unakuta mtu akishamaliza kunywa chai ya shemeji yake ile saa tatu asubuhi anakukalia kidete hadi jioni kwamba amekuweza , wewe upo kazini hauna hili wala lile unakutana na ID yako imetajwa kila kona 😁

STRESS, UMASIKINI, TRAUMA, ULIMBUKENI
 
Back
Top Bottom