Hii video inaonesha tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya hayati Magufuli na Tundu Lissu juu ya Uzalendo kwa Taifa. JPM tunamu-underrate sana

Mnamu-underate humu kwenye mitandao mnajiona wengi na acc zao mbilimbili, ila toka nje ya mitandao njoo wanao ishi maisha halisi ndipo utaelewa jamaa aliyagusa maisha ya watu.

Wewe sasa hivi wale maharage ni anasa, mchele unakimbilia 3000per kilo,Maharage 3400per kilo.
 
Hakika
 
Nawasilisha
View attachment 2384424

source:IBM channel youtube
Mungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini.

Wakati huo Magufuli alikuwa kimya kwenye Kambi ya CCM ambapo Lissu na upinzania walikuwa wanapambana na Serikali bungeni hadi kutoka nje ya Bunge kukataa kuwa rubber stamp ya Sheria mbaya za madini.

Mungu asingeruhusu dhuluma kama hii itokee kwa Lissu hivyo, Magufuli akashindwa kumuua na hatimaye akafa yeye Machi 17, 2021.

Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe
 
ghafla 2016 akaanza kuwatetea wakwapuaji wa madini.

..ghafla Jpm akasamehe deni la acacia la trillioni 350+.

..ghafla Jpm akawasamehe walawiti watoto Babu Seya na Papii.

..ghafla Jpm akamteua Deo Mwanyika aliyekuwa mtendaji wa acacia kugombea ubunge kwa tiketi ya Ccm.
 
Mungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini.

Wakati huo Magufuli alikuwa kimya kwenye Kambi ya CCM ambapo Lissu na upinzania walikuwa wanapambana na Serikali bungeni hadi kutoka nje ya Bunge kukataa kuwa rubber stamp ya Sheria mbaya za madini.

Mungu asingeruhusu dhuluma kama hii itokee kwa Lissu hivyo, Magufuli akashindwa kumuua na hatimaye akafa yeye Machi 17, 2021.

Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe MunguMungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini.

Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe Mungu
Daaa umeandika maandiko marefu sana mkuu kumtetea kibaraka wa mabeberu
 
Uvivu wa kufikiri au uhaba wa akili kichwani mwako. Hao mnaowaita MABEBERU ndiyo walimuwekea pacemaker Magufuli akaweza kuishi hadi 2021. La sivyo asingetoboa mwaka 1992 akiwa mwanafunzi wa UDSM.

Hao unaowaita MABEBERU ndiyo mungu wako Magufuli alwakopa Tsh 29 Trillion kujengea miundombinu ya barabara na umeme. Huku akiwadanganya MATAAHIRA kama wewe kuwa ni fedha za ndani za Watanzania
 
Back
Top Bottom