Mungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini.
Wakati huo Magufuli alikuwa kimya kwenye Kambi ya CCM ambapo Lissu na upinzania walikuwa wanapambana na Serikali bungeni hadi kutoka nje ya Bunge kukataa kuwa rubber stamp ya Sheria mbaya za madini.
Mungu asingeruhusu dhuluma kama hii itokee kwa Lissu hivyo, Magufuli akashindwa kumuua na hatimaye akafa yeye Machi 17, 2021.
Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe MunguMungu hakupenda adhma mbaya ambayo Magufuli alikuwa nayo dhidi ya Lissu kwa vile Lissu ndiye mtetezi wa kweli wa raslimali za madini tangu miaka ya 2000 wakati wa Mkapa akiwatetea wachimbaji wa Tarime na wakati akiwa Mbunge kipindi chote cha Kikwette akiwa msemaji wa Kambi ya upinzani kwenye sekta ya madini.

Hata kama huamini Mungu, kwenye hili tukio la Lissu na Magufuli Mungu alisima katikati kama alivyosimama dhidi ya Nebukadineza alipotaka kuwadhuru akina Nabii Daniel na hawa akina Meshack, Abdenengo na Shadrack (Danieli 1-3). Muacheni Mungu aitwe Mungu