Hii video inaonesha tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya hayati Magufuli na Tundu Lissu juu ya Uzalendo kwa Taifa. JPM tunamu-underrate sana

..Lissu ktk bunge la katiba, akitetea uwepo wa serikali ya Tanganyika.

..Magufuli alikimbia bunge la katiba.

..Magufuli alijificha ili kutetea tumbo lake.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…