Hii video inayosambaa ya mkenya aitwaye Stanley inasikitisha sana

Joined
Dec 22, 2023
Posts
73
Reaction score
80
Habarini wakuu,

Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2, condom na kilainishi.

Binti akampokea Stanley kwa bashasha harafu akaaga kama anaenda chooni kumbe ameenda kuwatonya mapolisi.

Ghafla bwana Stanley akajikuta anamulikwa na camera akizungukwa na mapolisi pamoja na baba mzazi wa huyo binti.

Wanaume wenzangu mnaenda nje ya nchi kujitafuta fuateni vilivyowapeleka huko ili mfanikiwe kimaisha kuhusu genye zetu mtazimaliza mkija hapa nchini. Bwana Stanley ataozea gerezani.
 
Sio SA ni USA. Kama ingekua SA hapo hamna kesi kule kuzagamuana ni tendo rasmi kikatiba
Nilisoma vibaya nikajua SA kule kweli watu wanabanduana sana kitoto cha miaka 15 kimeiva vizuri
 
Alichemka.....huko kuna mishangazi ya kiKenya....ingemsaidia tu kispoti
 
Habarini wakuu,

Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2, condom na kilainishi.

Binti akampokea Stanley kwa bashasha harafu akaaga kama anaenda chooni kumbe ameenda kuwatonya mapolisi.

Ghafla bwana Stanley akajikuta anamulikwa na camera akizungukwa na mapolisi pamoja na baba mzazi wa huyo binti.

Wanaume wenzangu mnaenda nje ya nchi kujitafuta fuateni vilivyowapeleka huko ili mfanikiwe kimaisha kuhusu genye zetu mtazimaliza mkija hapa nchini. Bwana Stanley ataozea gerezani.

Kazaliwa USA halafu ni muamiaji haramu hivi akili unayo kweli?
 
Back
Top Bottom