Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Ni hayo tu!
Kizazi kijacho itakuwa kelele saaana.
Tunaenda kwenye uchaguziYote ya yote isirudiwe tena kumpa kwa namna yoyote mamlaka mwanamke.
Sheikh aliona mbali si mnaona yanayotokea sasa.
Kwani kashindwa nini? Mnona kapiga kazi kuliko hao wanaume?Yote ya yote isirudiwe tena kumpa kwa namna yoyote mamlaka mwanamke.
Emotional controlKwani kashindwa nini? Mnona kapiga kazi kuliko hao wanaume?
Kwani nchi inatawaliwa na dini au Katiba? Leta kufungu cha katibaDini ya kiislam na kikiristo zote zimekataa kabisa Mwanamke kuwa liongozi