Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Hii video kuhusu V8 ya Serikali inasikitisha sana

Hii nchi bwana ...
Leo wamefuta lesseni za wauza mbolea ... saa sijui mazaao yatasubiri michakato yao .. waanajitengenezea michakato ya upigaji tu yaani
 
Katiba ni muhimu sana kwasababu itajenga taasisi zitakazojisimamia na wananchi watapata njia yakufwatilia kwasababu mamlaka itakua kwa wananchi.ukikaa ukasubiri uzalendo wawatu utasubiri sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu heb leta mfano wa katiba duniani iliyoleta matokeo chanya ambayo yalipelekea watu kuwa na hofu ya wizi, na ufisadi? Nchi zote zenye kiwango kizuri cha maadili yanatengenezwa nyumbani, chunguza utaelewa, na uzalendo huwa ni somo kabisa tena linalotiliwa mkazo mkuu..

Sisi bado tunayumbishwa na sera za kimaghalibi hatujui tukubali kipi na kipi tukikatae, bado sijaona kama katiba inaweza kuwa suluhisho la matatzo ya msingi ya watanzania
 
Back
Top Bottom