😅😅😅 Wakati huo kuna EMS za chini ya 1MNdiyo zile shule kipenzi cha wanaJF hizi,hawataki kupoteza pesa!!
Tanzania inahitaji strong institution na sio one man showTanzania ni nchi inayotaka dikteta mzuri kuliko mwana democrasia mbovu !
Wote ni wabaya ila dictatorship nzuri ni bora kuliko democrasia mbaya ilopitisha mzembe kama samia
Britanicca
Huyo magufuli yuko wapi leoNa haya ndiyo mawazo yangu, ndiyo sababu nilichagua kumuunga mkono Magufuli.
Haya ndiyo mawazo ya Kamanda mstaafu mmoja wa Polisi aliye ongoza Dar miaka ya 2000 na kitu. .
Nilimsikia akiongea kwenye mahojiano ya TV. Yule muhaya mwenzio ndugu yake Mama Prof. Anna Tibaijuka.
Wananchi wengi tu Wana mawazo haya.
Ila B maza kakutoka moyoni 😹Tanzania ni nchi inayotaka dikteta mzuri kuliko mwana democrasia mbovu !
Wote ni wabaya ila dictatorship nzuri ni bora kuliko democrasia mbaya ilopitisha mzembe kama samia
Britanicca
Tunahitaji taasisi imara sababu marais wazuri na wabaya watakuja tu kwenye nchi hili haliepukikiIla B maza kakutoka moyoni 😹
Lakini si nyie veggies mlimpitisha wenyewe..!!
Mimi nimekuelewa sana na uelewa wangu huu mdogo kuliko hata akili za wasomi wa mbogamboga 100...Tanzania ni nchi inayotaka dikteta mzuri kuliko mwana democrasia mbovu !
Wote ni wabaya ila dictatorship nzuri ni bora kuliko democrasia mbaya ilopitisha mzembe kama samia
Britanicca
Nini kifanyike?Mradi wa DART ni hasara! Usimamizi mbovu kabisa! Vituo havina kadi za ticket, mabasi mabovu, yan ovyo ovyo kabisa.
Kikubwa ni usimamizi bora, tathmini ifanyike haraka. Kama Kindamba hatoshi awekwe mtu sahihi.Nini kifanyike?
Tanzania is a failed state 🚮Wakuu,
Kuna hii video nimekutana nayo ambapo hawa wanafunzi wanasemekana wamekaa hapo kwa mwendokasi kuanzia saa 10 jioni hadi saa 2 usiku.
Hisia zangu zinaniambia umeandika hii comment kuwakebehi watu wanaopeleka watoto wao government schools.Ndiyo zile shule kipenzi cha wanaJF hizi,hawataki kupoteza pesa!!
Hicho unachosema ni sahihi ila kwa watu hawahawa, Serikali hakiwezi kutokea.Kikubwa ni usimamizi bora, tathmini ifanyike haraka. Kama Kindamba hatoshi awekwe mtu sahihi.