Hii video ya wanafunzi wa Primary wakiwa wanasubiri mwendokasi hadi Saa 2 Usiku inafikirisha

Hii video ya wanafunzi wa Primary wakiwa wanasubiri mwendokasi hadi Saa 2 Usiku inafikirisha

Huyo magufuli yuko wapi leo
nchi inahitaji taasisi imara na sio huruma za mtu
Hakuna taasisi imara bila watu imara.
Hiyo taasisi watafanya kazi aliens au raia wa kigeni tu?
Kwanza tupate watu imara, wachapakazi na wenye maadili mema. Hakuna taasisi isiyo na watu.
Magufuli alikuwa anaanza kuwabadili watanzania kutoka kuwa watu wazembe, wasiofuata maadili ya kazi zao na kuwafanya watu imara. Kisha hatua ya pili kuunda taasisi imara zitakazo wapa ajira hao watu.
Bahati mbaya hakueleweka na alichukiwa na watu wasiokuwa na maadili mema.
 
Magufuli ndo chanzo cha uharibifu na aliamini kwenye yeye alikuwa mbinafsi sana yaani aliamini ataishi milele
Kuna kipindi alisema miradi aliyoianzisha hakuna takayeweza kuimalizia serious
 
Sijui kama CCM wanajua kwamba hili la mabasi ya mwendokasi lina wapunguzia mileage?
Nilidhani kipindi hichi maji yangepatikana 24/7
Usafiri wa Udart ungekua safi na foleni kuanzia Mlandizi hadi bandarini ingepungua.
Kinyume chake ndio tunachoona.
 
Tanzania ni nchi inayotaka dikteta mzuri kuliko mwana democrasia mbovu !

Wote ni wabaya ila dictatorship nzuri ni bora kuliko democrasia mbaya ilopitisha mzembe kama samia

Britanicca
Sheikh,

Nchi zotee zilizoendelea Duniani zilishakuwa na Dictators ambao walitaka kazi zifanyike na sio Demokrasia Au vioja

Democracy inakuja baada ya nchi kuendelea kabisa kama ilivyo Uk, US, Spain, Switzeland n.k

German walikuwa na Hitler na zilijengwa reli za kutosha, Train, mabehewa, magari ya kijerumani, mashine mbalimbali n.k France walikuwa na Napoleon, Spain walikuwa na Francisco Franco na Italy walikuwa na Benito Musolini na wote hao walileta maendeleo kwa watu wao

Hata Idd Amin alipenda watu wake sana🤣

Kuwa arrogant at times husaidia sana
 
Hakuna taasisi imara bila watu imara.
Hiyo taasisi watafanya kazi aliens au raia wa kigeni tu?
Kwanza tupate watu imara, wachapakazi na wenye maadili mema. Hakuna taasisi isiyo na watu.
Magufuli alikuwa anaanza kuwabadili watanzania kutoka kuwa watu wazembe, wasiofuata maadili ya kazi zao na kuwafanya watu imara. Kisha hatua ya pili kuunda taasisi imara zitakazo wapa ajira hao watu.
Bahati mbaya hakueleweka na alichukiwa na watu wasiokuwa na maadili mema.
JPM was not a saint, na mambo mengi na maagizo yake yalipindishwa pindishwa na kina sabaya na makonda, sababu ya ujinga na uoumbavu wao!
He was 110% better than the current madam!
Now everything, I mean everything is in shambles, ghafla ikulu na kiongozi wake waonekana VITUKO! Ohhh kafunguwa nchi! Mbona haendi tena huko?!
Banana republic KABISA KABISA KABISA...
 
Back
Top Bottom