Hakuna taasisi imara bila watu imara.Huyo magufuli yuko wapi leo
nchi inahitaji taasisi imara na sio huruma za mtu
Magufuli ndo chanzo cha uharibifu na aliamini kwenye yeye alikuwa mbinafsi sana yaani aliamini ataishi mileleHakuna taasisi imara bila watu imara.
Hiyo taasisi watafanya kazi aliens au raia wa kigeni tu?
Kwanza tupate watu imara, wachapakazi na wenye maadili mema. Hakuna taasisi isiyo na watu.
Magufuli alikuwa anaanza kuwabadili watanzania kutoka kuwa watu wazembe, wasiofuata maadili ya kazi zao na kuwafanya watu imara. Kisha hatua ya pili kuunda taasisi imara zitakazo wapa ajira hao watu.
Bahati mbaya hakueleweka na alichukiwa na watu wasiokuwa na maadili mema.
Sheikh,Tanzania ni nchi inayotaka dikteta mzuri kuliko mwana democrasia mbovu !
Wote ni wabaya ila dictatorship nzuri ni bora kuliko democrasia mbaya ilopitisha mzembe kama samia
Britanicca
JPM was not a saint, na mambo mengi na maagizo yake yalipindishwa pindishwa na kina sabaya na makonda, sababu ya ujinga na uoumbavu wao!Hakuna taasisi imara bila watu imara.
Hiyo taasisi watafanya kazi aliens au raia wa kigeni tu?
Kwanza tupate watu imara, wachapakazi na wenye maadili mema. Hakuna taasisi isiyo na watu.
Magufuli alikuwa anaanza kuwabadili watanzania kutoka kuwa watu wazembe, wasiofuata maadili ya kazi zao na kuwafanya watu imara. Kisha hatua ya pili kuunda taasisi imara zitakazo wapa ajira hao watu.
Bahati mbaya hakueleweka na alichukiwa na watu wasiokuwa na maadili mema.
Taasisi imara haziwezi kujijenga zenyewe zinahitaji watu wa shaka na wenye mapenzi mema na nchiHuyo magufuli yuko wapi leo
nchi inahitaji taasisi imara na sio huruma za mtu
Mbona huyo magufuli alishindwa kuzijengaTaasisi imara haziwezi kujijenga zenyewe zinahitaji watu wa shaka na wenye mapenzi mema na nchi