Hii Vita Iran ndo ameshinda Israel wanatishia kumuua Trump!!

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Inaonekana malengo ya Israel hayajafikiwa

Malengo makuu yalikua ni matatu

Mosi, ilikua ni kuharibu kabisa mpango wa Nyuklia wa Iran hapa wamefeli kwani Iran anaendelea kururubisha Urani kama kawaida.Hakuna uharibifu wowote ulositisha sehemu yoyote ya Nyuklia

Pili ni kuharibu kabisa makombora ya Ballistic ya Iran kitu ambacho kafeli kabisa

Tatu, ni Regime change yaani kuuondoa utawala wa sasa but wamefeli.

Kama nchi tunajifunza nini?Siri ya mafanikio ya Iran ni underground bases bila hivyo angekwisha.....Iran wana kibarua kizito cha kuboresha jeshi la Anga yaani hamna kitu kabisa, hawana ndege za maana kabisa wamewekeza zaidi kwenye Drones na makombora.

Kingine Iran aboreshe Air defense zake.sio nyingi kukataa deal la S-400 kisa walitengeneza Bavar 373 ilikua ni Grave mistake kubwa.

Kingine Iran ana kazi nzito ya kusuka na kuboresha shirika lake la ujasusi maana majasusi wa mossad wametapakaa kila kona ya Iran. Wajifunze kwa Pakistan, hivi mnajua kuwa Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye idara bora kabisa za kijasusi duniani??

Waisrael hawajafurahishwa na Trump hapa nazungumzia Radical Zionists hadi wanatishia kumuua Trump kisa tu Trump kawachana Israel

It seems kuna deal kati ya Iran na US walifikia ambalo Mwiisrael aliwekwa Pembeni!!

Halafu Israel aligoma kabisa na kuzuia waandishi wa habari kuonyesha au kufika kwenye bases zao zilizolipuliwa na Iran ili kuficha madhara.
Screenshot_20250624-182837 (1).jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20250624-182837.jpeg
    Screenshot_20250624-182837.jpeg
    72.4 KB · Views: 30
Ukweli ni kwamba iran kashindwa vibaya sana vinu vimeenda yaani ametengeneza vinu kwa mamiaka na kwa billion dollars vimekuja kubomolewa ndani ya nusu saa.

Lengo la Israel na USA limefikiwa kwa asilimia 100..iran amepunguzwa nguvu kwa zaidi ya asilimia 70.
 
Hakuna wa kuithibiti Iran kuenrich Uranium. Ataanzisha program upya na ataichimbia chini zaidi.

Israel hatothubutu tena in the future kuanzisha military confrontation na Iran, maana Iran anaenda kuandaa jeshi lake upya kujiandaa kwa pambano lijalo. Kama ndani ya siku 12 Tel Aviv imechakazwa vile, hiyo vita ijayo itakuwa msala.

USA haiwezi kufanya vita ya milele na Iran kwa ajili ya maslahi ya Israel
 
Hii aibu aliyoipata Netanyahu uchungu wake utamuua aise
Namna alivyo na kiburi na jeuri na namna alivyojitapa anaenda kuimaliza Iran, halafu leo hii Israel ndio imemalizwa tena ndani ya wiki moja tu kasarenda.

Sijui atauficha wapi uso wake kwa aibu hii

Shikamoo Iran
 
Kitakachotokea sasa Israel na US urafiki wao utaanza kuyumba, mana kwa kifupi US kaamua kumtosa Israel katikati ya vita na usikute huko back door Trump alimjaza kichwa SHETANYAHU kuwa hatamtupa.
Ila baada ya kuona vituo vyake vya jeshi vimepigwa na Iran kaona isiwe nongwa kamlazimisha Israel kusarenda. I'm sure Israel is not happy with this huge defeat and humiliation
 
Iran wamewekewa vikwazo, hizo ndege walizonazo hata ile aliyodondoka nayo Raisi wao, ni za hao hao Wamarekani, za miaka hiyo. Fikiria pamoja na vikwazo ila wamepambana hivi. Wasingekuwa na vikwazo hawa habari ingekuwa nyingine, ndiyo maana wanawekewa vikwazo wanawajua vizuri.

Kuhusu ujasusi, hapo wana kazi kubwa zaidi ya chochote kulisuka upya si kazi ndogo. Na lazima wafanye kazi ya ziada kuwajua ma agent wa Mossad, waache kunyonga kiholela, maana wanauwa wasio na hatia wanawaacha wenye hatia wakipeleka habari.
 
Inaonekana malengo ya Israel hayajafikiwa

Malengo makuu yalikua ni matatu

Mosi, ilikua ni kuharibu kabisa mpango wa Nyuklia wa Iran hapa wamefeli kwani Iran anaendelea kururubisha Urani kama kawaida.Hakuna uharibifu wowote ulositisha sehemu yoyote ya Nyuklia

Pili ni kuharibu kabisa makombora ya Ballistic ya Iran kitu ambacho kafeli kabisa

Tatu, ni Regime change yaani kuuondoa utawala wa sasa but wamefeli.

Kama nchi tunajifunza nini?Siri ya mafanikio ya Iran ni underground bases bila hivyo angekwisha.....Iran wana kibarua kizito cha kuboresha jeshi la Anga yaani hamna kitu kabisa, hawana ndege za maana kabisa wamewekeza zaidi kwenye Drones na makombora.

Kingine Iran aboreshe Air defense zake.sio nyingi kukataa deal la S-400 kisa walitengeneza Bavar 373 ilikua ni Grave mistake kubwa.

Kingine Iran ana kazi nzito ya kusuka na kuboresha shirika lake la ujasusi maana majasusi wa mossad wametapakaa kila kona ya Iran. Wajifunze kwa Pakistan, hivi mnajua kuwa Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye idara bora kabisa za kijasusi duniani??

Waisrael hawajafurahishwa na Trump hapa nazungumzia Radical Zionists hadi wanatishia kumuua Trump kisa tu Trump kawachana Israel

It seems kuna deal kati ya Iran na US walifikia ambalo Mwiisrael aliwekwa Pembeni!!

Halafu Israel aligoma kabisa na kuzuia waandishi wa habari kuonyesha au kufika kwenye bases zao zilizolipuliwa na Iran ili kuficha madhara.View attachment 3381690
Ameshinda na vinu vyote chali we kweli kilaza.
 
Iran alichoshinda ni kubuni mbinu kabambe duniani ya kuwabanika binadamu kama kuku kwa kuwafunga kwenye makombora na kuyaripua kuelekea Israel kwa madai ya kuwarudisha Israel, katika hilo Iran amejichukulia ushindi wa dunia,ushindi wa vita Iran ana singiziwa na wapambe wake hajashinda,hata vinu vya nyukilia ambavyo havijapigwa ni vile vilivyojengwa vichwani mwa mashabiki wake na ndio hivyo vinaendelea kurutubisha madini ya nyukilia.
 
Hakuna wa kuithibiti Iran kuenrich Uranium. Ataanzisha program upya na ataichimbia chini zaidi.

Israel hatothubutu tena in the future kuanzisha military confrontation na Iran, maana Iran anaenda kuandaa jeshi lake upya kujiandaa kwa pambano lijalo. Kama ndani ya siku 12 Tel Aviv imechakazwa vile, hiyo vita ijayo itakuwa msala.

USA haiwezi kufanya vita ya milele na Iran kwa ajili ya maslahi ya Israel
Unaota wewe!

Kama vile Iran inavyoapa kila siku kwamba "death to America, death to Israel"

Vile vile na wenzake wanaapa kwamba Iran will never have Nukes bomb!

Israel kwenye hii vita ametimiza malengo yake ya kushambulia vinu vya nyukilia endapo mazungumzo hayatazaa matunda na hilo limetokea
 
Ushabiki sijui mnapataga faida gani aisee

Sijui hamna kazi za kufanya

Mtu kauliwa wakuu wote wa juu wa jeshi na usalama
Kambi za jeshi karibia zote zimeharibiwa
Rada zimebondwa bondwa

Inchi imerudishwa miaka 100 nyuma bado tena yeye ndo kashinda vita kisa tu kavunja maghorofa aisee

Kobaz mna roho ngumu sana kwakweli ndo maana shetani huwatumia
 
Karudishwa miaka 100 nyuma kwa mujibu wa nani
 
Back
Top Bottom