Hii Vita Iran ndo ameshinda Israel wanatishia kumuua Trump!!

Hii Vita Iran ndo ameshinda Israel wanatishia kumuua Trump!!

Inaonekana malengo ya Israel hayajafikiwa

Malengo makuu yalikua ni matatu

Mosi, ilikua ni kuharibu kabisa mpango wa Nyuklia wa Iran hapa wamefeli kwani Iran anaendelea kururubisha Urani kama kawaida.Hakuna uharibifu wowote ulositisha sehemu yoyote ya Nyuklia

Pili ni kuharibu kabisa makombora ya Ballistic ya Iran kitu ambacho kafeli kabisa

Tatu, ni Regime change yaani kuuondoa utawala wa sasa but wamefeli.

Kama nchi tunajifunza nini?Siri ya mafanikio ya Iran ni underground bases bila hivyo angekwisha.....Iran wana kibarua kizito cha kuboresha jeshi la Anga yaani hamna kitu kabisa, hawana ndege za maana kabisa wamewekeza zaidi kwenye Drones na makombora.

Kingine Iran aboreshe Air defense zake.sio nyingi kukataa deal la S-400 kisa walitengeneza Bavar 373 ilikua ni Grave mistake kubwa.

Kingine Iran ana kazi nzito ya kusuka na kuboresha shirika lake la ujasusi maana majasusi wa mossad wametapakaa kila kona ya Iran. Wajifunze kwa Pakistan, hivi mnajua kuwa Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye idara bora kabisa za kijasusi duniani??

Waisrael hawajafurahishwa na Trump hapa nazungumzia Radical Zionists hadi wanatishia kumuua Trump kisa tu Trump kawachana Israel

It seems kuna deal kati ya Iran na US walifikia ambalo Mwiisrael aliwekwa Pembeni!!

Halafu Israel aligoma kabisa na kuzuia waandishi wa habari kuonyesha au kufika kwenye bases zao zilizolipuliwa na Iran ili kuficha madhara.View attachment 3381690
Yaaan nyie wavaa vipedo mtaishia kua mikia tu siku zote una linganishaje mtu alie kua ana rusha rusha tu hovyo makombora kwenye makazi ya watu dhidi ya mbabe alie kua ana piga military target/key military infrastructure na aka fanikiwa kuua baadhi ya viongozi muhimu kabisa kwenye hiyo serikali dhalimu!!?
Ushindi kweny ni kupiga majengo 😆😆😆😆
Kichekesho Cha kufungia mwaka hiki
Allah Akbar 😆😆😆😆😆😆😆
 
Ukweli ni kwamba iran kashindwa vibaya sana vinu vimeenda yaani ametengeneza vinu kwa mamiaka na kwa billion dollars vimekuja kubomolewa ndani ya nusu saa.

Lengo la Israel na USA limefikiwa kwa asilimia 100..iran amepunguzwa nguvu kwa zaidi ya asilimia 70.
Hawa waabudu wa shetani yaani acha tu kwa kupindishaga maneno. Na si ajabu kwakuwa shetani wao anayewafunza hiyo Taqqya yeye ni fundi hata aliweza kupindisha maagizo ya Mungu wa Kweli ili amdanganye Hawa. Ukweli unabaki pale pale wamechapwa na kanchi ambako kwa ukubwa iran imekazidi 75 times na population wise 10 times. Mpaka sasa mtoto mkubwa wa Ayatollah hajaonekana.
Na wajue kuwa Trump ni mtoto wa Kihuni. Anawachora tu, huku anataka kutimiza lengo lake kwa Siri. Wajue kuwa hata hiyo move ya kuzipeleka B-2 Bombers ilikuwa ni siri kubwa na wakawahadaa Iran kwa kujifanya B-2 zinaelekea west to Guam. Time will tell, Ayatollah Khamenei ataondoka. President Mosoud Pezeshkan hana shida na wala hakusikika kutoa maagizo wakati wa vita. I bet Trump &Netanyahu they're cooking something
 
Hakuna wa kuithibiti Iran kuenrich Uranium. Ataanzisha program upya na ataichimbia chini zaidi.
Ukraine ilionyesha resistance kubwa kwa Urusi zile siku tatu za mwanzo wa vita kabla ya msaada wowote kuingia.
Hamas ilionyesha uwezo mkubwa na mbinu kali za kupambana na Israel mwanzoni.

Iran imeonyesha uwezo mdogo sana tofauti na ilivyotarajiwa. Uwezo mdogo kupindukia. Habari za nyuklia kwa Iran sahau, tutakukumbusha.

Walikuwepo Iraq, wakawepo Syria. Wote hao Israel ilizima ndoto zao za nyuklia wakiwa na jeshi kubwa na lenye resistance kuzidi hili la Iran ila walishindwa.
 
Hawa waabudu wa shetani yaani acha tu kwa kupindishaga maneno. Na si ajabu kwakuwa shetani wao anayewafunza hiyo Taqqya yeye ni fundi hata aliweza kupindisha maagizo ya Mungu wa Kweli ili amdanganye Hawa. Ukweli unabaki pale pale wamechapwa na kanchi ambako kwa ukubwa iran imekazidi 75 times na population wise 10 times. Mpaka sasa mtoto mkubwa wa Ayatollah hajaonekana.
Na wajue kuwa Trump ni mtoto wa Kihuni. Anawachora tu, huku anataka kutimiza lengo lake kwa Siri. Wajue kuwa hata hiyo move ya kuzipeleka B-2 Bombers ilikuwa ni siri kubwa na wakawahadaa Iran kwa kujifanya B-2 zinaelekea west to Guam. Time will tell, Ayatollah Khamenei ataondoka. President Mosoud Pezeshkan hana shida na wala hakusikika kutoa maagizo wakati wa vita. I bet Trump &Netanyahu they're cooking something
Siasa za Iran zinaenda zinakubaliana na uhalisia kwa kuzidiwa mbinu.

Rais Mahmoud Ahmadnejad aliwaingiza hasara kiuchumi kwa ubishi na ubabe wake. Ayatollah akahakikisha harudi madarakani.

Rais Ebrahim Raisi alivyoshupalia suala la Houthi na Hezbollah akafa kwa ajali ya helikopta na waliomsindikiza eti hawakujua mpaka walipotua uwanjani.
Yaani nyinyi ni escorts wa Rais alafu eti usafiri wake unawapotea mnatembea masaa kadhaa hamjui yuko wapi. Sasa mnasindikiza nini?
Wanatufanya wajinga.

Rais wa sasa hana sera yoyote ya kupigana. Hata Waziri wao wa Mambo ya Nje aliyedumu 2013 hadi 2021 na baadae akawa Makamu wa Rais anayehusika na masuala ya kimkakati aliongea na waandishi wa habari mwaka jana akasema anachoshwa na Iran kujitwisha mzigo usio wake. Mara kupigania Wapalestina, mara kuua Wayahudi, kutoa silaha na mafunzo, kuilinda Syria ya Assad. Uko kote wanatengeneza maadui na kutumia gharama.

Rais wa Iran ambaye alikuwa anatumia akili, unafiki na diplomasia vizuri alikuwa Hassan Rouhani ambaye aliendeleza sana nuclear project huku anatabasamu kwenye vikao na kushiriki mazungumzo. Yeye mnacheka mbele ya meza, nyuma ya pazia anafanya mambo yake bila kuchokoza watu na kupigishana kelele.

Hawa wengine nguvu bado, washaanza kuwehuka. North Korea ingeanza fujo kabla ya kuunda nukes mbona isingefika mbali.
 
A
Ukweli ni kwamba iran kashindwa vibaya sana vinu vimeenda yaani ametengeneza vinu kwa mamiaka na kwa billion dollars vimekuja kubomolewa ndani ya nusu saa.

Lengo la Israel na USA limefikiwa kwa asilimia 100..iran amepunguzwa nguvu kwa zaidi ya asilimia 70.
Acha mboyoyo
 
Iran alikuwa HANA MALENGO, WENZAKE MALENGO YALIKUA KUHARIBU MITAMBO YA NYUKLIA NA MAKOMBORA. LENGO LIMETIMIA VITA HAINA MAANA TENA
Fuatilia vizuri kiongozi.
Marekani yenyewe imekiri sasa hivi muda huu saa 6 na Dakika 19 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki kupitia Bloomberg tv kwamba hawajafanikiwa kuteketezà vinu vya nyuklia vya Iran kwani Iran walishahamisha Uranium yao kwenda sites nyingine za siri ambazo mpaka sasa hazijafahamika.

Pia shirika la atomic duniani siku ya jana limekiri kwamba hakuna nuclear emissions/Uranium leakage yoyote iliyotokea pale Iran na mashariki yote ya kati kwa ujumla.

Hivyo malengo ya vita kwa upande wa Israel ambayo yalikuwa kuangusha utawala wa sasa wa Iran na kuangamiza vinu vya nyuklia hayajafikiwa.

Iran haikuwa na nia ya kufanya vita kwa sasa ila baada ya kuchokozwa wamejibu mapigo kadhaa wa kadhaa kwa sababu ilikuwa imeshajiandaa.
Mapigo hayo ni kama:-

I)Wamelipua oil refinery na bandari ya Haifa.

ii)Wamepiga chuo cha utafiti cha Weizmann kiasi cha kuleta hasara ya $50 million na tafiti zote za kisayansi zilizokuwa zinaendelea zimetekezwa hivyo inabidi waanze upya.
Kuna tafiti zilikuwa zina miaka 7 na zinaendelea ila zimetekezwa.

iii)Wamepiga stock market (soko la hisia) la pale Tel Aviv.

iv) Wamepiga power stations.

v)Wamepiga hospital ya kijeshi ambapo chini kulikuwa na military bases.

vi)Ofisi za Microsoft zimelipuliwa.

vii)Mfumo wa ulinzi wa anga wa Iron dome umewekwa uchi kwamba hauwezi kuzuia makombora hivyo kuwafanya Israel na Marekani waonekane kuwa waongo.

viii)Maghorofa na majengo mengi yamelipuliwa na kuwafanya wakaishi kwenye mahandaki na maelfu kukimbia kwenda mataifa mengine.
Tel Aviv imekuwa kama Gaza.

ix)Baada ya Marekani kuingilia kumsaidia Israel,Iran ikaamua kushambulia kambi za jeshi za Marekani zilizopo Qatar na Iraq.
Baada ya mashambulizi hayo hata Marekani yenyewe imeona kuna umuhimu wa kusitisha vita maana ilipeleka anga karibu lote la Mashariki ya kati kufungwa kwa muda kuanzia Oman,Kuwait,Saudi Arabia,Qatar,Iraq pamoja na Jordan.

x)Kuna tetesi kwamba ndege ya F-35 fighter jet imetunguliwa na makombora ya Iran.

xi)Asubuhi ya kuamkia leo mji wa Beer-Sheva/Beer-Sheba(kwa Kiswahili) umepigwa makombora na maghorofa kadhaa kuharibiwa na watu wamefukiwa kwenye kifusi na kadhaa wahofiwa kufa.
Mamlaka za Israel zimekuwa zikificha mara kwa mara idadi ya vifo kuepuka aibu ila waliokufa ni wengi sana huko Israel.


Sasa ukiibeza Iran kwa sababu ya matangopori uliyolishwa na vyanzo vya kueneza propaganda vya ulaya Magharibi utakuwa umeingizwa chaka.

Ukweli ni kwamba Iran sio mnyonge na hapaswi kuchukuliwa poa.
 
Kwa jinsi Israel ilivyosagwa na makombora ya Iran sidhan kama Netanyahu atarudia tena kutikisa moto asioweza kuumudu, Israel lengo ni kuharibu viwanda vya makombora na nuclear Facilities za Iran lakini kakuta wahuni viwanda viko underground kapiga bom zimeishia kutimua vumbi tu ila Iran akijibu Tel aviv inageuka majivu.

USA nae kaishia kupata aibu karisha B-2 lakin hamna leakage yoyote iliyotokea kwenye Nuclear Facilities hii maana yake lengo la kuharibu Nuclear halijafanikiwa
 
Ukraine ilionyesha resistance kubwa kwa Urusi zile siku tatu za mwanzo wa vita kabla ya msaada wowote kuingia.
Hamas ilionyesha uwezo mkubwa na mbinu kali za kupambana na Israel mwanzoni.

Iran imeonyesha uwezo mdogo sana tofauti na ilivyotarajiwa. Uwezo mdogo kupindukia. Habari za nyuklia kwa Iran sahau, tutakukumbusha.

Walikuwepo Iraq, wakawepo Syria. Wote hao Israel ilizima ndoto zao za nyuklia wakiwa na jeshi kubwa na lenye resistance kuzidi hili la Iran ila walishindwa.

Yakhe umeona vifusi ndani ya Tel-aviv?
Tel Aviv inaonekana kama Gaza
 
Kitakachotokea sasa Israel na US urafiki wao utaanza kuyumba, mana kwa kifupi US kaamua kumtosa Israel katikati ya vita na usikute huko back door Trump alimjaza kichwa SHETANYAHU kuwa hatamtupa.
Ila baada ya kuona vituo vyake vya jeshi vimepigwa na Iran kaona isiwe nongwa kamlazimisha Israel kusarenda. I'm sure Israel is not happy with this huge defeat and humiliation
Hz ndo akil za mtu mweus hutak kuamin labda USA kajitoa kisomi ili Israel afanye maangamiz ili ionekane ni Israel bila uhusika wa Marekan
Mnawai kusahu mbinu kama hii imetumika huko Ukraine
 
Inaonekana malengo ya Israel hayajafikiwa

Malengo makuu yalikua ni matatu

Mosi, ilikua ni kuharibu kabisa mpango wa Nyuklia wa Iran hapa wamefeli kwani Iran anaendelea kururubisha Urani kama kawaida.Hakuna uharibifu wowote ulositisha sehemu yoyote ya Nyuklia

Pili ni kuharibu kabisa makombora ya Ballistic ya Iran kitu ambacho kafeli kabisa

Tatu, ni Regime change yaani kuuondoa utawala wa sasa but wamefeli.

Kama nchi tunajifunza nini?Siri ya mafanikio ya Iran ni underground bases bila hivyo angekwisha.....Iran wana kibarua kizito cha kuboresha jeshi la Anga yaani hamna kitu kabisa, hawana ndege za maana kabisa wamewekeza zaidi kwenye Drones na makombora.

Kingine Iran aboreshe Air defense zake.sio nyingi kukataa deal la S-400 kisa walitengeneza Bavar 373 ilikua ni Grave mistake kubwa.

Kingine Iran ana kazi nzito ya kusuka na kuboresha shirika lake la ujasusi maana majasusi wa mossad wametapakaa kila kona ya Iran. Wajifunze kwa Pakistan, hivi mnajua kuwa Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye idara bora kabisa za kijasusi duniani??

Waisrael hawajafurahishwa na Trump hapa nazungumzia Radical Zionists hadi wanatishia kumuua Trump kisa tu Trump kawachana Israel

It seems kuna deal kati ya Iran na US walifikia ambalo Mwiisrael aliwekwa Pembeni!!

Halafu Israel aligoma kabisa na kuzuia waandishi wa habari kuonyesha au kufika kwenye bases zao zilizolipuliwa na Iran ili kuficha madhara.View attachment 3381690
Kwa hiyo sasa Israel ina cheo kingine badala ya "Terrorist State,' na sasa kuwa "A Failed State."
 
Kibarua kikubwa kwa intelligence ya Iran kwa sasa ni kuuvunja mtandao wa Mossad na CIA uliofanikiwa kujipenyeza kwenye taasisi zao za usalama na kiraia.

T14 Armata 100 others zitto junior Nguruvi3
Hamna mtandao, Israel hutumia mabilion kuhonga ili kupata intelligence kuliko namba ya mapandikizi waliopo kwenye hizo idara. Na wanatumia extortion kuwa ukigoma basi utakufa. Rejea vitisho alivyopewa mmoja wa majenerali wa Iran wiki iliyopita.
 
Hz ndo akil za mtu mweus hutak kuamin labda USA kajitoa kisomi ili Israel afanye maangamiz ili ionekane ni Israel bila uhusika wa Marekan
Mnawai kusahu mbinu kama hii imetumika huko Ukraine
Trump mbona kafoka na ndege zikarudishwa kweli, hakuna maigizo pale Trump yupogo direct ndio maana alisema USA ndio imelipua vinu vya nuclear na hakujifichia nyuma ya Israel.

Sasa huyo Netanyahu angelipua kweli trust me angeshakua ameondolewa madarakani by now.
 
Iran wamewekewa vikwazo, hizo ndege walizonazo hata ile aliyodondoka nayo Raisi wao, ni za hao hao Wamarekani, za miaka hiyo. Fikiria pamoja na vikwazo ila wamepambana hivi. Wasingekuwa na vikwazo hawa habari ingekuwa nyingine, ndiyo maana wanawekewa vikwazo wanawajua vizuri.

Kuhusu ujasusi, hapo wana kazi kubwa zaidi ya chochote kulisuka upya si kazi ndogo. Na lazima wafanye kazi ya ziada kuwajua ma agent wa Mossad, waache kunyonga kiholela, maana wanauwa wasio na hatia wanawaacha wenye hatia wakipeleka habari.
Msako mkali waendelea kimyakimya na watu wapelekwa mahakama maalum kwa mtindo wa "fast-track".
 
Iran 🇮🇷 hajashindwa vita
Na mpango wake wa nyuklia uko pale pale ,walivoskia anafunga mlango wa bahari hakuna mafuta kutoka wanaanza kuleta janja janja
Na kma marekani na Israel wameshindwa kuharibu kabisa mipango ya nyuklia wakati huu asee kma baadae marekani ataingia tena kushambulia iran atapata majibu makali
Iran imeonyesha uwezo mkubwa kimapambano wakati huu
 
Ukweli ni kwamba iran kashindwa vibaya sana vinu vimeenda yaani ametengeneza vinu kwa mamiaka na kwa billion dollars vimekuja kubomolewa ndani ya nusu saa.

Lengo la Israel na USA limefikiwa kwa asilimia 100..iran amepunguzwa nguvu kwa zaidi ya asilimia 70.
Aliyeleta Uzi hajui chochote .... Utafikiri shabiki wa Simba na Yanga yaan wanakuwaga na Hisia yaan..
 
Ameshinda na vinu vyote chali we kweli kilaza.
Wewe upo dunia gani? Vinu vyote vya Irani vipo salama, Mkuu wa Mosad kuwawa katika shambulio la hospital na mkuu wa jeshi la anga la Israeli nae kuwawa.
 
Wewe upo dunia gani? Vinu vyote vya Irani vipo salama, Mkuu wa Mosad kuwawa katika shambulio la hospital na mkuu wa jeshi la anga la Israeli nae kuwawa.
Tunaomba sosi ya habar yako
 
Back
Top Bottom