Hii Vita Iran ndo ameshinda Israel wanatishia kumuua Trump!!

Hii Vita Iran ndo ameshinda Israel wanatishia kumuua Trump!!

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 23
Hakuna wa kuithibiti Iran kuenrich Uranium. Ataanzisha program upya na ataichimbia chini zaidi.

Israel hatothubutu tena in the future kuanzisha military confrontation na Iran, maana Iran anaenda kuandaa jeshi lake upya kujiandaa kwa pambano lijalo. Kama ndani ya siku 12 Tel Aviv imechakazwa vile, hiyo vita ijayo itakuwa msala.

USA haiwezi kufanya vita ya milele na Iran kwa ajili ya maslahi ya Israel
Heee!!!haya sio mahaba ni ujinga mkubwa!!Israel na Usa malengo yao wameyafikia kwa zaidi ya asilimia 90 na ndio maana wameona vita iishe iran pia ana ugomvi na Usa juu ya kusaidia makundi ya kigaidi karibu yote duniani(walimpa jina kuwa ni axis of evil) kwani akiyachimbia chini zaidi ndio wawatayafikia?huo ni ujinga!!umetumia miaka mingi nabpesa nyingi kujenga mitambo mtu anakuja kuiharibu kirahisi tu!!Sasa Viongozi wako wanauawa tu na jamaa kama anavyotaka bado humpi heshima yake?
 
Heee!!!haya sio mahaba ni ujinga mkubwa!!Israel na Usa malengo yao wameyafikia kwa zaidi ya asilimia 90 na ndio maana wameona vita iishe iran pia ana ugomvi na Usa juu ya kusaidia makundi ya kigaidi karibu yote duniani(walimpa jina kuwa ni axis of evil) kwani akiyachimbia chini zaidi ndio wawatayafikia?huo ni ujinga!!umetumia miaka mingi nabpesa nyingi kujenga mitambo mtu anakuja kuiharibu kirahisi tu!!Sasa Viongozi wako wanauawa tu na jamaa kama anavyotaka bado humpi heshima yake?
Mtaumia na tutawakera sana tu chukua hiyo kutoka DW
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 21
Nazidi kuiona tofauti ya wenzetu na sisi watu weusi. Tazama Wayahudi (kwa mujibu wa mleta uzi ) walivo, yaani wapo Marekani lakini wana hasira sana na nchi yao, usikute wengine hawajawahi hata kwenda Israel but see the way wanavyo kufikiria kwao. Watu weusi, including viongozi wao, from top leaders to the bottom one, wanafikiria kuiba na kuzifirisi nchi zao na kwenda kuneemesha uchumi wa nchi nyingine halafu na huaga wana wapambe wa kuwasifia, very stupid. Tuna safari ndefu sana watu weusi kuja kufikia level za watu wa race zingine
 
Inaonekana malengo ya Israel hayajafikiwa

Malengo makuu yalikua ni matatu

Mosi, ilikua ni kuharibu kabisa mpango wa Nyuklia wa Iran hapa wamefeli kwani Iran anaendelea kururubisha Urani kama kawaida.Hakuna uharibifu wowote ulositisha sehemu yoyote ya Nyuklia

Pili ni kuharibu kabisa makombora ya Ballistic ya Iran kitu ambacho kafeli kabisa

Tatu, ni Regime change yaani kuuondoa utawala wa sasa but wamefeli.

Kama nchi tunajifunza nini?Siri ya mafanikio ya Iran ni underground bases bila hivyo angekwisha.....Iran wana kibarua kizito cha kuboresha jeshi la Anga yaani hamna kitu kabisa, hawana ndege za maana kabisa wamewekeza zaidi kwenye Drones na makombora.

Kingine Iran aboreshe Air defense zake.sio nyingi kukataa deal la S-400 kisa walitengeneza Bavar 373 ilikua ni Grave mistake kubwa.

Kingine Iran ana kazi nzito ya kusuka na kuboresha shirika lake la ujasusi maana majasusi wa mossad wametapakaa kila kona ya Iran. Wajifunze kwa Pakistan, hivi mnajua kuwa Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye idara bora kabisa za kijasusi duniani??

Waisrael hawajafurahishwa na Trump hapa nazungumzia Radical Zionists hadi wanatishia kumuua Trump kisa tu Trump kawachana Israel

It seems kuna deal kati ya Iran na US walifikia ambalo Mwiisrael aliwekwa Pembeni!!

Halafu Israel aligoma kabisa na kuzuia waandishi wa habari kuonyesha au kufika kwenye bases zao zilizolipuliwa na Iran ili kuficha madhara.View attachment 3381690

Kachambue tu mpira
 
Ukweli ni kwamba iran kashindwa vibaya sana vinu vimeenda yaani ametengeneza vinu kwa mamiaka na kwa billion dollars vimekuja kubomolewa ndani ya nusu saa.

Lengo la Israel na USA limefikiwa kwa asilimia 100..iran amepunguzwa nguvu kwa zaidi ya asilimia 70.
Malengo ya Israel yalikuwa ni yepi? Mfano kumuua yule babu Ayatola na kubadili kabisa uongozi imefanikiwa? Kiufupi Israel malengo yake hayajafanikiwa. Kalipua baadhi ya maeneo ila kwenye nyuklia hajagusa. Na unadhani kwa nini amesitisha vita? Sababu amebaini kitu tofauti na matarajio
 
Hamna mtandao, Israel hutumia mabilion kuhonga ili kupata intelligence kuliko namba ya mapandikizi waliopo kwenye hizo idara. Na wanatumia extortion kuwa ukigoma basi utakufa. Rejea vitisho alivyopewa mmoja wa majenerali wa Iran wiki iliyopita.
Duh!...kwa hiyo wamagharibi wanapozungumzia Mossad ilivyofanikiwa kujipenyeza Iran Huwa wanaongeza chumvi ?
 
Tatizo si yalikuwa wapi. tatizo ni majengo yalibomolewa. Israel ibomoe ya Gaza, af ikifika round yao wenyewe waonewe huruma!
waonewe na nani? gaza wamejenga sehemu zankufatyulia makombora chini ya shule na hospitali sasa apo ulitakaje?
 
Nje ya mada:Wewe ni KE au ME?? Kama ni KE ipo shughuli hasa kama unataka tendo coz utaanza uchambuzi wa hoja mpaka hoja!
Mimi ni KE enzo1988 😅😅😅😅😅 nawewe leo unijibu hapa ni KE au ME last time uliniambia niangalie comment zako, nimeshindwa kujua. Mimi napenda tu kusoma sana, habari mbalimbali, kujielimisha. Ndiyo maana. Huko ulikotaja niko so Romantic 🙈🙈🙈🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
tatizo la Trump,anamagorofa nayeye na anajua galama na uchungu wa kuyajenga.alivyoona huko izrael yanavulugika kaona aanze kulalamika tu
 
Back
Top Bottom