Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

EU anaumiaje wakati ni nchi wanachama Ni one economic block.
kama ulisikia jana alokiongea kansela wa GERMAN kule bungeni usingeuliza hili swali
hivi vikwazo kaekewa RUSSIA sio ZIMBABWE hao waloeka kesho kutwa wataanza kulia lia nawao
 
Vikwazo visikie, Iran mpaka ameshindwa kulipa mchango wake UN kwasababu ya ukata, kazidiwa na Tanzania nchi ndogo kwenye world statge.
IRAN gani[emoji848][emoji23][emoji23]
muache kulisha watu matango pori nyi watu khaa
IRAN licha ya vikwazo ila ni far better kuliko vi innji vyenu uchwara huko
 
Sasa sapoti lazima ukapigane ?wewe utaona mchina atakapoingia kwenye hii issue na wala hatajihusisha na vita kama urusi ......yeye atampiga huyo beberu wenu kiuchumi maana atapata resources za kutosha na kwa bei rahisi toka kwa mrusi
Huyo mchina tangu Huawei alivyotwangwa,kuna nini cha maana alichokifanya kutetea Kampuni yake,nani anataka kutumia simu isiyo na Adroid or App store.Mchina alishaondoka kwa zama za kuwa kubwa jinga,anatumia akili zaidi,
 
Sema hvyo hvyo zilipendwa.


Ilhali Mrusi wenu Mambo yanaanza kumuelemea.Kwa vikwazo anavyoendelea kupigwa asipotathmini atakua na hali ngumu ya kiuchumi Kama Iran .
IRAN ipi?[emoji848][emoji23][emoji23]
 
kwamba kabla ya hivi vita walishindwa kupata hayo unayo yasema sehem nyengine mpaka wakawa wanapatia kwa RUSSIA
ukweli mchungu nikwamba VIKWAZO vitamuumiza URUSI halina ubishi ila nlipomsikia KANSELA wa GERMAN anasema kwamba nawao wataathirika na hv vikwazo na akawataka RAIA wajiandae nikajua kama hii ishu itawakost wote kwapamoja
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Kubwa jinga PUTIN ndiyo kadharirika,mikwara yote ile kumbe ni kama mkate wa Boflo tu ukiweka kwa kikombe cha chai unanywea.
Makeyboard warrior na propaganda zao ndo wananywea hadi unaomba msaada wa raia wa nje waje kukusaidia ......mikwara yote kumbe jeshi lenyewe mnato........
 
Nchi za magharibi wajanja sana, hawajaweka vikwazo kwenye mafuta wala gesi. 20% ya mafuta yanayotumika uraya yanatoka Russia na kwa upande wa gesi na zaidi ya hapo.
 
IRAN ipi?[emoji848][emoji23][emoji23]
Iran hiyo unayoijua ww.Weka ushabiki pembeni IRAN wananchi wake wanna hali ngumu sana.
Ukitaka kujua fuatiliaga ht vipindi vya aljazeera 101 east uone maisha mtaani ya wananchi wa. Iran yalivyo.
 
Ametohoa
Huyo mchina tangu Huawei alivyotwangwa,kuna nini cha maana alichokifanya kutetea Kampuni yake,nani anataka kutumia simu isiyo na Adroid or App store.Mchina alishaondoka kwa zama za kuwa kubwa jinga,anatumia akili zaidi,
Operating system yake ya hios kutoka Android na pia kaleta makampuni pinzani mapya km oppo na xiaomi ambayo yapo top five ktk makampuni Bora ya simu .
Asante China ni taifa linalojiweza usifananishe na Zimbabwe iliyochangamka(Russia).
Mchina ktk masuala ya kiuchumi kakamata dunia mpk wamagharibi wanatumia vitu vyake na wanakopa kwake kushindana nae sio kitu rahisi.
ASA RUSSIA ZIMBABWE ILIYOCHANGAMKA INA KIPI CHA KUTUNISHIANA MISULI NA IMPERIALISTS UKIACHANA NA JESHI!?
 
Vipi kuhusu tishio la kuishambulia Taiwan 🇹🇼 kwamba ni jimbo lake???
China kuiweka himayani Taiwan na Hong Kong mm na support.
Taiwan na Hong Kong zilikua sehem ya China ila wamagharibi Great Britain ndio walitenganisha.
Na mbaya zaidi bado wanatumia hizo sehem kumdhohofisha China.
Tafuta nakala ya "The coming war to China" utaelewa kaka.
Ila China anatishia hana ubabe was kipumbavu km Russia wa kuua watoto.
 
Athari watazopata EU ni inversely proportional na watakazopata Russia.
Na athari zitakazowajia EU ni rekebishi tena kirahisi.
Ila athari atazopata na anazopata Russia zitamrudisha karne ya 15.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…