You must be a lazy dreamer. Iran iliondolewa kwenye SWIFT 2014 na bad inapiga kazi.
Ulaya inaumia zaidi kwa vikwazo hivyo kama anavyoumia Russia. Hakuna mshindi katika hilo.
Hahahaaaa...... Endelea kukariri!You must be a lazy dreamer. Iran iliondolewa kwenye SWIFT 2014 na bad inapiga kazi.
Ulaya inaumia zaidi kwa vikwazo hivyo kama anavyoumia Russia. Hakuna mshindi katika hilo.
Wenzio wanakaribia kuingia mitaani huko Russia!Hii ngoma bado mbichi bwasheeee...
Umewahi kuishi Syria?😄Syria na vikwazo vyote aluvyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
Uandishi wa kishabiki huu, kwan ile vita ya magufuli aliekuwa anaizungumzia ndio kama hii au hukumuelewa??? Hizi hotuba za marais ziwe zinafanyiwa tafsiri nashauri maana wananchi huku hawaelewi kitu.
Kile cha russia sasa sio vita ya uchumi vile ni vikwazo vya uchumi.
Vita ya kiuchumi ni kama ile ya china na marekan juu ya 5g tec au i phone na huwawei nk.
Lakin kwa kukuondolea hofu vikwazo vya kiuchumi nchi kibao zimewekewa na bado watu wanaishi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejibu vzr Mkuu!Uandishi wa kishabiki huu, kwan ile vita ya magufuli aliekuwa anaizungumzia ndio kama hii au hukumuelewa??? Hizi hotuba za marais ziwe zinafanyiwa tafsiri nashauri maana wananchi huku hawaelewi kitu.
Kile cha russia sasa sio vita ya uchumi vile ni vikwazo vya uchumi.
Vita ya kiuchumi ni kama ile ya china na marekan juu ya 5g tec au i phone na huwawei nk.
Lakin kwa kukuondolea hofu vikwazo vya kiuchumi nchi kibao zimewekewa na bado watu wanaishi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hujui hata historia ya dunia. Unapiga kelele tu. Hujui issue ya China na Taiwan!? Hujui china ailiichukua kibabe sehemu ya bahari ya Philippines!? Mzee nenda shule kwanza kajifunze kuhusu GeopoliticsWewe marafiki zako akina Kim Jong , sjui India , mara Iran , wote maskini tu hela hawana ...!!! China hela anayo Ila huo ujinga wa vita hawez fanya 😀😀😀
Syria na vikwazo vyote aluvyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi
EU anaumiaje wakati ni nchi wanachama Ni one economic block.
Endelea kukariri bwashee!kwani hizo sanctions zimeanza leo 2014 obama alimwekea,kikubwa hata ni puzzle game,U.S.A anategemea OUTPUT fulani ila kakutana na kichwa time will tell...
German ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.EU wanafanya biashara na Urusi kwa kiasi kikubwa mfano Finland inaitegemea soko la Urusi kwa asilimia zaidi ya 60. Hapo hujazugumzia Ujerumani na wengine.
Bidhaa muhimu kama gesi asilia na mafuta kwa 60% wananunua toka Urusi. Nani anafaidi hapo? Nani anaumia?
tokea mwanzo alternatives zilikuwepo ishu gesi ya mrusi ndo ilikua ya gharama nafuu kuliko kwingineGerman ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.
Hata sisi Tanzania tuna gesi ya kumwaga hatuna wa kumuuzia waje tu!
Mkuu, unataka Putin atushughulikie na sisi ? 😆German ameshaachana na gesi ya Russia amepata kwingine kuanzia jana.
Hata sisi Tanzania tuna gesi ya kumwaga hatuna wa kumuuzia waje tu!
sio rahisi kiivyo bwasheeee.. wale sio kama ccm na chademaWenzio wanakaribia kuingia mitaani huko Russia!
Ndio aitumie mwenyewe sasa!tokea mwanzo alternatives zilikuwepo ishu gesi ya mrusi ndo ilikua ya gharama nafuu kuliko kwingine
Vikwazo alivyowekewa Urusi hakuna nchi imewahi wekewaSyria na vikwazo vyote aluvyowekewa vipi umeona wameyumba? Korea kaskazin Cuba vipi