Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Mod ana bifu na mm la kimya kimya na ana jealous za kishamba.Mkuu mbona MODS siku hizi wanakuonea sana na Ban. Yani inaniuma kichiz. Tangu putin aivamie Ukraine yani michango
Yako haikuonekana
Nimeifuatilia hii vita kwa kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kutoka India, China, na vyombo vya western, inaonyesha kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu sana kimbinu, ila tu wana makombora mengi sana, na wanayarusha sana bila kujali yataangukia wapi. Ukiangalia kuwa walikuwa wameandaa jeshi la askari 190,000 pamoja na ndeze za kivita pamoja na helicopter takriban 500 na vifaru zaidi ya 2500 kupambana na nchi ambayo haina vifaru, na ilikuwa ilikuwa na ndege zisizozidi 10, na jeshi lake lote ni kama 1500 tu lakini wamehangaishwa wiki mbili sasa, ni wazi kuwa jeshi hilo ni dhaifu sana. Jambo linalofanywa na urusi ni kupiga makombora hovyo hovyo, yaani kubomoa infrastaructure ya ndilo lengo lao kuu; uwezo wa kutumia mizinga kubomoa infrastcruture tu siyo kipimo cha ubora wa jeshi. Angalia kuwa tayari urusi imeshapoteza majenerali kama watatu hivi pamoja na makanali takriban 30.Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.
Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa kuchanganyikiwa.
Vita ya uchumi ni mbaya sana, huu ulikuwa ni wosia wa mwisho wa Rais Magufuli pale St Peters Oysterbay.
Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani Joseph Magufuli!
Msikie huyu mmatumbiachana na Aljazeera nenda IRAN kwenyewe yes hali ngumu imeletwa kiasi fulani na vikwazo ila kama ndio pale IRAN ina vikwazo nikheri wakaendelea kua na vikwazo kuliko sisi huku tunaoishi bila vikwazo halaf hatueleweki
naamini RUSSIA ataathirika na hivi vikwazo ila sio kama IRAN au kama ZIMBABWE kuhusiana na IRAN usiniambie niangalie JAZEERA siijui saaaana IRAN ila naijua IRAN kuliko mnavyoaminishwa
Wangewazimia na appstore, android na Microsoft WindowsVikwazo alivyowekewa Russia aisee ni mara Mia ya vya Iran.
Vikwazo vya Russia vibaya sana yani ni sawa na dunia kumtenga.
Muda utaeleza Kila kitu
Alishauliwa huyu HuaweiNakumbuka kipindi cha Huawei anabanwa na vikwazo watu walisema havina maana, na wao Huawei mwanzoni walijua wataweza kutoboa lakini waulize waliko mda huu.
anaivuna ila bado anaihitaji kwa wingi kama ilivyo kwa USChina natural gas anaivuna pale south China Sea hawezi akanunua kwa kiwango kikubwa gas Russia ilhali south China Sea anaivuna kwasasa.
Duniani gas haipo Russia pekeake vivyo hvyo ilivyo kwa mafuta hayapo kwa waarabu pekee.
hizo takwimu umezipata wapi MKUU[emoji848][emoji848][emoji848]Nimeifuatilia hii vita kwa kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kutoka India, China, na vyombo vya western, inaonyesha kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu sana kimbinu, ila tu wana makombora mengi sana, na wanayarusha sana bila kujali yataangukia wapi. Ukiangalia kuwa walikuwa wameandaa jeshi la askari 190,000 pamoja na ndeze za kivita pamoja na helicopter takriban 500 na vifaru zaidi ya 2500 kupambana na nchi ambayo haina vifaru, na ilikuwa ilikuwa na ndege zisizozidi 10, na jeshi lake lote ni kama 1500 tu lakini wamehangaishwa wiki mbili sasa, ni wazi kuwa jeshi hilo ni dhaifu sana. Jambo linalofanywa na urusi ni kupiga makombora hovyo hovyo, yaani kubomoa infrastaructure ya ndilo lengo lao kuu; uwezo wa kutumia mizinga kubomoa infrastcruture tu siyo kipimo cha ubora wa jeshi. Angalia kuwa tayari urusi imeshapoteza majenerali kama watatu hivi pamoja na makanali takriban 30.
kaa kwakutulia dogoMsikie huyu mmatumbi
Nimeifuatilia hii vita kwa kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kutoka India, China, na vyombo vya western......hizo takwimu umezipata wapi MKUU[emoji848][emoji848][emoji848]
Thamani imeshuka 51% tangu uvamizi. Lazima mbabe kuchanganikiwa.Vikwazo anavyowekewa Russia ni tofauti kabisa bwashee.
Leo thamani ya fedha ya Russia imeshuka kwa 30%
Muda si mrefu watafanana na Zimbabwe
Yaani urusi ni mwaribifu tuu ye anarusha mabomu mpaka shuleni, hospitalini na kwenye makazi ya watu.Nimeifuatilia hii vita kwa kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kutoka India, China, na vyombo vya western, inaonyesha kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu sana kimbinu, ila tu wana makombora mengi sana, na wanayarusha sana bila kujali yataangukia wapi. Ukiangalia kuwa walikuwa wameandaa jeshi la askari 190,000 pamoja na ndeze za kivita pamoja na helicopter takriban 500 na vifaru zaidi ya 2500 kupambana na nchi ambayo haina vifaru, na ilikuwa ilikuwa na ndege zisizozidi 10, na jeshi lake lote ni kama 1500 tu lakini wamehangaishwa wiki mbili sasa, ni wazi kuwa jeshi hilo ni dhaifu sana. Jambo linalofanywa na urusi ni kupiga makombora hovyo hovyo, yaani kubomoa infrastaructure ya ndilo lengo lao kuu; uwezo wa kutumia mizinga kubomoa infrastcruture tu siyo kipimo cha ubora wa jeshi. Angalia kuwa tayari urusi imeshapoteza majenerali kama watatu hivi pamoja na makanali takriban 30.
Hii bado haitoshi mimi napendelea Urusi iongezewe vikwazo ili thamani ya fedha yake ishuke mpaka 80% haiwezekani aichakaze nchi ya watu Ukraine mabomu bila hatiaThamani imeshuka 51% tangu uvamizi. Lazima mbabe kuchanganikiwa.
Pole yako bro.anaivuna ila bado anaihitaji kwa wingi kama ilivyo kwa US
🤣🤣🤣🤣Msikie huyu mmatumbi
Wananchi wa urusi hawana la kufanya Kwa huyu jamaa,hata kama hawamtaki hawana la kufanya.Putin ni sawa na CCM,wananchi hatuitaki Lakini ni king'ang'anzi.By all means lazima wabaki madarakani!😠Hivi Russia wanapoteza pakubwa ilitakiwa wananchi waanze kumkataa huyu jamaa
Lazima wakomae jamaa anawapeleka chaka atakuwa "the hero of the classical Era"
pole yako ww brooPole yako bro.
Na jana US na allies wake wametoa kikwazo kingine Cha kuzuia matumizi ya mafuta toka Russia.
Na bomba la mafuta huwenda likakatwa.
PUTIN anapendwa mnooooooo mnooooooWananchi wa urusi hawana la kufanya Kwa huyu jamaa,hata kama hawamtaki hawana la kufanya.Putin ni sawa na CCM,wananchi hatuitaki Lakini ni king'ang'anzi.By all means lazima wabaki madarakani![emoji34]