Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems.

Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa kuchanganyikiwa.

Vita ya uchumi ni mbaya sana, huu ulikuwa ni wosia wa mwisho wa Rais Magufuli pale St Peters Oysterbay.

Mungu wa mbinguni mpumzishe kwa amani Joseph Magufuli!
Nimeifuatilia hii vita kwa kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kutoka India, China, na vyombo vya western, inaonyesha kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu sana kimbinu, ila tu wana makombora mengi sana, na wanayarusha sana bila kujali yataangukia wapi. Ukiangalia kuwa walikuwa wameandaa jeshi la askari 190,000 pamoja na ndeze za kivita pamoja na helicopter takriban 500 na vifaru zaidi ya 2500 kupambana na nchi ambayo haina vifaru, na ilikuwa ilikuwa na ndege zisizozidi 10, na jeshi lake lote ni kama 1500 tu lakini wamehangaishwa wiki mbili sasa, ni wazi kuwa jeshi hilo ni dhaifu sana. Jambo linalofanywa na urusi ni kupiga makombora hovyo hovyo, yaani kubomoa infrastaructure ya ndilo lengo lao kuu; uwezo wa kutumia mizinga kubomoa infrastcruture tu siyo kipimo cha ubora wa jeshi. Angalia kuwa tayari urusi imeshapoteza majenerali kama watatu hivi pamoja na makanali takriban 30.
 
achana na Aljazeera nenda IRAN kwenyewe yes hali ngumu imeletwa kiasi fulani na vikwazo ila kama ndio pale IRAN ina vikwazo nikheri wakaendelea kua na vikwazo kuliko sisi huku tunaoishi bila vikwazo halaf hatueleweki
naamini RUSSIA ataathirika na hivi vikwazo ila sio kama IRAN au kama ZIMBABWE kuhusiana na IRAN usiniambie niangalie JAZEERA siijui saaaana IRAN ila naijua IRAN kuliko mnavyoaminishwa
Msikie huyu mmatumbi
 
Vikwazo alivyowekewa Russia aisee ni mara Mia ya vya Iran.
Vikwazo vya Russia vibaya sana yani ni sawa na dunia kumtenga.
Muda utaeleza Kila kitu
Wangewazimia na appstore, android na Microsoft Windows
 
China natural gas anaivuna pale south China Sea hawezi akanunua kwa kiwango kikubwa gas Russia ilhali south China Sea anaivuna kwasasa.
Duniani gas haipo Russia pekeake vivyo hvyo ilivyo kwa mafuta hayapo kwa waarabu pekee.
anaivuna ila bado anaihitaji kwa wingi kama ilivyo kwa US
 
Nimeifuatilia hii vita kwa kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kutoka India, China, na vyombo vya western, inaonyesha kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu sana kimbinu, ila tu wana makombora mengi sana, na wanayarusha sana bila kujali yataangukia wapi. Ukiangalia kuwa walikuwa wameandaa jeshi la askari 190,000 pamoja na ndeze za kivita pamoja na helicopter takriban 500 na vifaru zaidi ya 2500 kupambana na nchi ambayo haina vifaru, na ilikuwa ilikuwa na ndege zisizozidi 10, na jeshi lake lote ni kama 1500 tu lakini wamehangaishwa wiki mbili sasa, ni wazi kuwa jeshi hilo ni dhaifu sana. Jambo linalofanywa na urusi ni kupiga makombora hovyo hovyo, yaani kubomoa infrastaructure ya ndilo lengo lao kuu; uwezo wa kutumia mizinga kubomoa infrastcruture tu siyo kipimo cha ubora wa jeshi. Angalia kuwa tayari urusi imeshapoteza majenerali kama watatu hivi pamoja na makanali takriban 30.
hizo takwimu umezipata wapi MKUU[emoji848][emoji848][emoji848]
 
mja kashasema, hakuna haja ya kuwepo dunia bila Urusi. Aidha Ukraine ataimega nusu (atachukua eastern Ukraine) ama yote. Na akifanikiwa tu, anapumzika kwanza. Anarudi mezani na mabepari wanafiki, wanakubaliana yaishe tu. maisha yanakwenda mbele
 
Nimeifuatilia hii vita kwa kupitia vyanzo mbalimbali vya habari kutoka India, China, na vyombo vya western, inaonyesha kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu sana kimbinu, ila tu wana makombora mengi sana, na wanayarusha sana bila kujali yataangukia wapi. Ukiangalia kuwa walikuwa wameandaa jeshi la askari 190,000 pamoja na ndeze za kivita pamoja na helicopter takriban 500 na vifaru zaidi ya 2500 kupambana na nchi ambayo haina vifaru, na ilikuwa ilikuwa na ndege zisizozidi 10, na jeshi lake lote ni kama 1500 tu lakini wamehangaishwa wiki mbili sasa, ni wazi kuwa jeshi hilo ni dhaifu sana. Jambo linalofanywa na urusi ni kupiga makombora hovyo hovyo, yaani kubomoa infrastaructure ya ndilo lengo lao kuu; uwezo wa kutumia mizinga kubomoa infrastcruture tu siyo kipimo cha ubora wa jeshi. Angalia kuwa tayari urusi imeshapoteza majenerali kama watatu hivi pamoja na makanali takriban 30.
Yaani urusi ni mwaribifu tuu ye anarusha mabomu mpaka shuleni, hospitalini na kwenye makazi ya watu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
anaivuna ila bado anaihitaji kwa wingi kama ilivyo kwa US
Pole yako bro.
Na jana US na allies wake wametoa kikwazo kingine Cha kuzuia matumizi ya mafuta toka Russia.
Na bomba la mafuta huwenda likakatwa.
 
Hivi Russia wanapoteza pakubwa ilitakiwa wananchi waanze kumkataa huyu jamaa

Lazima wakomae jamaa anawapeleka chaka atakuwa "the hero of the classical Era"
Wananchi wa urusi hawana la kufanya Kwa huyu jamaa,hata kama hawamtaki hawana la kufanya.Putin ni sawa na CCM,wananchi hatuitaki Lakini ni king'ang'anzi.By all means lazima wabaki madarakani!😠
 
Pole yako bro.
Na jana US na allies wake wametoa kikwazo kingine Cha kuzuia matumizi ya mafuta toka Russia.
Na bomba la mafuta huwenda likakatwa.
pole yako ww broo
kama ulimsikia POTUS alichokisema baada ya kutangaza vikwazo kwa RUSSIA huwez ukanipa pole mimi
 
Wananchi wa urusi hawana la kufanya Kwa huyu jamaa,hata kama hawamtaki hawana la kufanya.Putin ni sawa na CCM,wananchi hatuitaki Lakini ni king'ang'anzi.By all means lazima wabaki madarakani![emoji34]
PUTIN anapendwa mnooooooo mnoooooo
 
Back
Top Bottom