Hii vita "SHKAMOO na "MAMBO" imekuwa ngumu sana
Unaweza kukuta jinsia ya ke imejipodoa au tuseme imejitunza sana kufikia mahala ule uzee au umama hauonekani na unapokutana nae kwa mara ya kwanza ukimwambia "mambo" anaitika "poa" au anaweza asiitikie kabsa lkn mtu ambae anamfahamu kwa muda mrefu na amekuzidi umri anamwambia "Shkamoo" anaitikia vzr tu
The same goes kwa hawa wenye umri mdogo lkn muonekano wao ni wa kizee au umama yaani hujui umsalimie au umwambie tu mambo na ukiangalia muda mwingine ni bosi wako kabsa
NI salamu gani inafaa bila kujali muonekano wa huyo mtu kama ndio mara ya kwanza unakutana nae?