Hii Vita ya Israeli na Irani inayoanza Ina maana Gani Kiimani?

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
249
Reaction score
452
ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake.

Sasa hichi kinachoendelea Kati ya Israel na Iran muda huu, kiliandikwa kitatokea? Au ni ujumbe gani wa kiimani tunapewa?
 
Hapo hakuna chochote kuhusu Imani, makando kando ni mengi sana, hayo mambo yaliisha kipindi cha mitume...hapo mbabe ni atakayekuwa mbele ya muda tu. Nashangaa watu wanaingiza mambo ya Imani na ushabiki wa aina hiyo kuhusu huu mgogoro...Yahudi yeye Wala hakutambui kuwa Kuna Fulani afrika, tena Talmud Iko mbali sana bible na Quran, muajemi yeye pia hakujui kabisa, hivyo Kwa kutumia Imani wameweza kutuchota waafrika.

Poor Africans, yetu yanatushinda.
 
Tu

Nahitaji VAR
 
Wameweza kutuchota kivipi kiimani kama siyo sisi wenyewe tunachukulia hivo
 
Haya ni maandalizi tu ya Vita iliyotabiriwa itatokea siku za mwisho. Tayari Urusi, Uturuki, Iran na nchi zingine za kiislamu zimeanza kujipanga dhidi ya Israel. Naamini baada ya Iran kuishindwa Israel ataomba Urusi na Uturuki na nchi za Kiislamu kumsaidia. Ndipo watakuja na jesho kubwa wakidhani wataiangamiza kabisa Israel. Lakini kitakachowakuta dunia yote itashangaa. Kasome kitabu cha Ezekiel sura ya 38 hadi 39
 
FB_IMG_1727710655586.jpg
 
ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake.

Sasa hichi kinachoendelea Kati ya Israel na Iran muda huu, kiliandikwa kitatokea? Au ni ujumbe gani wa kiimani tunapewa?
Yote uliyoyasikia ni sehemu ya siasa, hakuna uteule wala nin

Hili neno "teule" limetumiwa tu ili kupata uungwaji mkono ktoka mataifa yasiyopenda kuumiza ubongo.
 
ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake.

Sasa hichi kinachoendelea Kati ya Israel na Iran muda huu, kiliandikwa kitatokea? Au ni ujumbe gani wa kiimani tunapewa?
Mimi nimehifunza wakiristo wa jf wanachuki sana na waislam na uislam. Hili nimefunza sana.
 
M
Haya ni maandalizi tu ya Vita iliyotabiriwa itatokea siku za mwisho. Tayari Urusi, Uturuki, Iran na nchi zingine za kiislamu zimeanza kujipanga dhidi ya Israel. Naamini baada ya Iran kuishindwa Israel ataomba Urusi na Uturuki na nchi za Kiislamu kumsaidia. Ndipo watakuja na jesho kubwa wakidhani wataiangamiza kabisa Israel. Lakini kitakachowakuta dunia yote itashangaa. Kasome kitabu cha Ezekiel sura ya 38 hadi 39
Matangopori
 
Back
Top Bottom