Hii Vita ya Israeli na Irani inayoanza Ina maana Gani Kiimani?

Nyuzzzz za kukalili toa akili zako makalioni zirudishe kichwani utaelewa
 

Israeli imeanza 1947 enzi gani hizo ??, tafakari kabla kuandika
 
Nimesoma kenya frm 2009 mpaka 2013.mkuu kuna mtu wa mungu anaitwa david owour frm mwaka 2011 huezi amini alitabiri vita ya nuklia kati ya iran n israel.waweza jionea mwenyewe thru repentance and holliness ministries au thru prophet david owour.huyu amekua akitangaza kua masihi sasa yu tayari kuja na vita vya kinuklia kati ya iran na israel ni ishara kuu he is coming back.duh huyu david owour hajawahi toa unabii ukaacha kutimia nimeshtuka sanaaaa jana baada ya iran kuishambulia israel,owour alioneshwa jinsi kinu cha nuklia kikilipuliwa na israel na ikawa vita kubwaaa.the master is coming back
 
Imeanza?,mbona hao kila mara hurushiana makombora miaka mingi,au umezaliwa juzi?
 
Ujumbe mkubwa xnaa wa kiimani tunapewa mkuu
Mungu aliangamiza sodoma na gomora kwa matendo yao machafu
Mungu huyo huyo anaitumia Iran kuiangamiza Israel kwa matendo yao Yale Yale
Hawa jamaa dhambi zao hazibadiliki walifanya ushoga enzi hizo na saiv ushoga una nguvu Israel
Pole kama niko kinyume na imani uliotarajia
 
Kama Iran atapigwa basi ni mwisho wa ugaidi wa Siasa kali duniani.
Namchukia Iran kwa kufadhiri ugaidi tu.
Karibu vikundi vyote vya ugaidi kwa sasa mfadhiri Mkuu ni Iran.
Sema vikundi vyote vinavopingana na sera za hao marekani tutakuelewa
 
Kama Iran atapigwa basi ni mwisho wa ugaidi wa Siasa kali duniani.
Namchukia Iran kwa kufadhiri ugaidi tu.
Karibu vikundi vyote vya ugaidi kwa sasa mfadhiri Mkuu ni Iran.
Na Islamic State mfadhili mkuu ni nani?
 
Hakuna Imani hapo Palestina inatakiwa ipate Uhuru wake hayo ya Imani mnayakuza nyie na wanaosema kuwa waisraeli waliishi miaka 3000
 
Mimi nimehifunza wakiristo wa jf wanachuki sana na waislam na uislam. Hili nimefunza sana.
Pole sana Mkuu kwa kuchelewa kulijua hilo, wakati yote hayo yalishaelezewa kinaga ubaga kwenye Quran miaka 1400 iliyopita.

3:118 - Enyi mlio amini! Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi. Hawataacha kukufanyieni ubaya. Wanayapenda yanayo kudhuruni. Imekwisha fichuka chuki yao katika midomo yao. Na yanayo ficha vifua vyao ni makubwa zaidi. Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini.

3:120 - Ikikupateni kheri huwaudhi. Na ikikupateni shari wanafurahia. Na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia, hila zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye kuyazunguka yote wayatendayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…