Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Vishu Mtata lazima kuna jambo π3. Nini hukukifanya halafu ukajutia baadaye?
Ndiyo yule ulisema lazima umdedishe π2. kijana wa kuitwa A, kwa alichonitendea, siwezi kumsamehe kamwee.
Vingi sana mkuu.Vishu Mtata lazima kuna jambo π
Huyo huyo, huyu kiumbe sijui kwanini hakupitiwa na risasi siku ya Tar 29. Ningekua nisha rahisishiwa kazi.Ndiyo yule ulisema lazima umdedishe π
Tunachoka, kila kona habari, mara bunge, mara kesi za kubambikiwa, mara kuachiliwa huru, ukigeuka huku video zaidi za polisi, sema ndiyo hivyo tu nimeshazoea mambo ya mtandao, ila ilitakiwa nitoke online, nijidetox kwa muda.Y itakuwa ndefu?
Vitumbua vya nazi π na mimi nimetamaniNafikiria kujikumbusha kupika maandazi na vitumbua ninenepe tena, nipike mimi sio Dada. Nimevitamani vyote vya nazi ikiwemo πππ
Ni huzuni, hizi kazi za kusafiri safiri zilaaniwe aiseeeh!Shemeji hajambo?
Kwanini soon, unakwama wapi?Pole sana
Soon nawaletea dawa ya ukimwi.
Tunachoka, kila kona habari, mara bunge, mara kesi za kubambikiwa, mara kuachiliwa huru, ukigeuka huku video zaidi za polisi, sema ndiyo hivyo tu nimeshazoea mambo ya mtandao, ila ilitakiwa nitoke online, nijidetox kwa muda.
Umejuaje kama bado ni mzima πHuyo huyo, huyu kiumbe sijui kwanini hakupitiwa na risasi siku ya Tar 29. Ningekua nisha rahisishiwa kazi.
πππππ