Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

1-thamani ya uhai ni kubwa sana haidhuru huyo aliye hai ni mhalifu kiasi gani, kwa hio upande wangu siwezi kufanya hivyo kwa yoyote.
🙏
2- hakuna hata mmoja binadamu ila umaskini ni adui yangu, siwezi kuusamehe.
💯
3- nyeto! Sijui kwa nini kuna msuto wa nafsi kiasi hicho.
Mmmh, kwenye hili I can't relate
4- angalia mara nyingine, tena rudia, ukijiwa na machozi lia, kisha sali kwa imani yako kuomba Rehema za Mungu, msamaha na uponyaji wa mioyo iliyo jeruhika.
Hapana, nafikiri nikiangalia tena ndiyo nitakua tormented zaidi
 
Hao wote ni vijana wake enz zake za kutembeza kwel likes alikuwa wa moto kupitiliza mpka wakamfungulia Uzi 😅
Naukumbuka ule uzi, alipata kazi sana kujitetea 🤣🤣 na wewe ukamuuliza kama alituma alfu 3 afunguliwe uzi 🤣

 
Naukumbuka ule uzi, alipata kazi sana kujitetea 🤣🤣 na wewe ukamuuliza kama alituma alfu 3 afunguliwe uzi 🤣

Aunt hizi nyuzi huwa unazihifadhi kwenye diary au 😅
 
Ni lazima nitoke nikiwa nimeshiba maarifa kichwani tofauti na hapo hatutaheshimiana na wale kunguni, hizo za wakina shishi nawaachia pangu pakavu wakapoze koo nao.
giphy.gif
 
Back
Top Bottom