Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

Nasoma maoni yenu
giphy-downsized.gif
 
🙏

💯

Mmmh, kwenye hili I can't relate

Hapana, nafikiri nikiangalia tena ndiyo nitakua tormented zaidi
Mimi ilinisaidia Sana, nilikua naangalia kawaida ila kuna video moja nadhani ile ya mama na mtoto, ilinitoa chozi kwa dakika kadhaa, nikaona isiww shida nika ingis kwenye dua kati ya saa saba na hadi tisa usiku, vile nilivyo omba iliniponya total na maumivu ya nafsi.
 
Sawa, labda nitapata ujasiri wa kuangalia tena.
Ila mtuombee na wengine tupate ahueni.
 
1. MR SMILE

2. kijana wa kuitwa A, kwa alichonitendea, siwezi kumsamehe kamwee.

3. Kuna mtu aliniomba nimsaidie kufanya jambo lake, ila mie nikakataa, kumbe nilikua napishana na fursa. Najutia sana.

4. Sijui.

5. Mjep vipi bado unanipendaa??
😹😹 Nimeshtuka usingizini nimekumbuka sijalog off JF pap nakutana na uzi na hii comment..!! Nimecheka hapo no 5 😹

Hivi shem aliendaga wapi? Umekubali wakupore mumeo uduguu kizembe hivyo??!!

Fanya km shangazi mrudishe kwa nguvu bhana, mi nimemiss vocha kutoka kwa tajiriiiii 🤣😹
 
Back
Top Bottom