ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Wewe bibi usinipangie mda wa kulala, natoka Moshi ndio nimeingia home naangalia nini kimejiri nakutana na mention ya binti wa zamani.We babu hujalala? 😹
Uwe unaelewa sio unakurupuka kujibu, nimesema umbo Kwani mwenyewe sijioni?
Hiyo ya dry au bwawa ni yako wewe sasa, sipo huko..!!
Ati kipapa chako kikoje vile! Nimezeeka kweli lakini sio kivile, najua kuvitofautisha!!