Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

We babu hujalala? 😹

Uwe unaelewa sio unakurupuka kujibu, nimesema umbo Kwani mwenyewe sijioni?

Hiyo ya dry au bwawa ni yako wewe sasa, sipo huko..!!
Wewe bibi usinipangie mda wa kulala, natoka Moshi ndio nimeingia home naangalia nini kimejiri nakutana na mention ya binti wa zamani.

Ati kipapa chako kikoje vile! Nimezeeka kweli lakini sio kivile, najua kuvitofautisha!!
 
😹😹
Unabisha ulikuwepo? 🤣

Babu ulikimbia vurugu ndo unarudi leo kutoka mafichoni.!!
 
Ba Mjengo hayupo, kasafiri.
Angekuwepo ningekua nambinukia tu, kiuno kwenye kingo za kitanda kichwa uvunguni 🤣🤣
Kwahiyo ndo umeamua kumlia mingo mzee E 😹😹

Mwenzio katoka safari muonee huruma basi!! Mtatuulia wazee wetu tunawategemea humu JF 😹😹🤣
 
😹😹
Unabisha ulikuwepo? 🤣

Babu ulikimbia vurugu ndo unarudi leo kutoka mafichoni.!!
Unadhani kila mtu kunguru nikimbie maandamano?
Tar. 29 nilikuwa Goba, nilikuwa katikati ya lile varangati, pale njia nne nimepita kwa mguu saa2 usiku na uzee wangu hata sikuogopa.

Nyie vijana mda huo mmejifungia ndani, imagine.
 
Kwahiyo ndo umeamua kumlia mingo mzee E 😹😹
🤣 🤣 🤣
Mwenzio katoka safari muonee huruma basi!! Mtatuulia wazee wetu tunawategemea humu JF 😹😹🤣
Wangu kaenda safari, huyu karudi safari - mengine inabidi nijiongeze mwenyewe kiutu uzima
 
Unadhani kila mtu kunguru nikimbie maandamano?
Tar. 29 nilikuwa Goba, nilikuwa katikati ya lile varangati, pale njia nne nimepita kwa mguu saa2 usiku na uzee wangu hata sikuogopa.

Nyie vijana mda huo mmejifungia ndani, imagine.
Weeh thubutuu!!
Naijua hiyo 😹😹

Mimi sijakimbia nilikuwa front mpk sasa nauguza majeraha..!!

Nimeponea kwenye mstari wa kifo na uhai, dar km darful..!! 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…