Hii wiki itakuwa ndefu sana - karibu tuzogoe!

Bro we kweli player kiraka ka muller, waki kaa vibaya hata golini una daka 😁
Mdogo wangu, siku nitakualika uone ninavyokumbushia enzi.. nikila winger wa kushoto unaweza kusema ndio nafasi yangu, nikila ya kulia unavurugika, sasa nikipiga 10, unajiuliza sasa huyu ni winger au 10, mbona qnafqnyq akili yangu iwe hovless, nikila CM nasambaza upendo kama niyonzima, nikishuka DM, unasemq thomas partey wa bongo si ndio huyu hapa..

Mdogo wangu kama hukumuona zidane, chama kwenye prime yake, hukunuona na mimi basi umekula hasarq katika utazamaji wa soka
 
Nilioa mmoja akaniacha ni hapo natamani uwe wangu
Kwanini uliachika? ulimletea vipengele gani mwanamke mwenzangu?
Unapendaje kirahisi rahisi hivyo wewe 🀣 japo najua unaipenda idea ya mimi uliyojitengenezea kichwani kwako.

Ila kwa sababu maisha ndiyo haya haya, nasubiri kuona kwenye huo uzi utatiririkaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…