Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee
Kila nikirudi kwenye mishe mishe zangu namkutaga mshikaji mmoja yupo nyumbani amevaa vest tu maana huyu mke wangu aliniambia ni kaka yake kwamaana ni mtoto wa mjomba wake lakini nikiwakutaga namkutaga mke wangu amevaa khanga moja na huyu njemba anavaa vest na bukta tu. Usiku ukifika nikitaga kumuomba mke wangu haki yangu ananiambia nimechoka na nikitaka kumlazimisha ananiambia maneno makali na kunipiga juu akishirikiana na huyu anayemsema kaka yangu sasa nimechoka natamani niame kwenye nyumba yangu ila nikifikiria watoto nabaki kuchanyanyikiwa na kumwaga machozi wakuu naombeni msaada nifanyeje?