Hii wiki watu wengi wanaumwa

Hii wiki watu wengi wanaumwa

Nimetumiwa yoote hayo.

House hold yoote tumeumwa.

Isipokua la kuongea mwenyewe.

Nimepima vile vipimo common. Vyoote Kama, Malaria, Full blood picture, urinalysis and stool analysis, etc.

Vyoote vipo sawa kabisa. Hadi ilibidi Juzi nipime Ct scan ya kifua maana nilikua nakoa, sijawahi kabla kukoho hivyo. Nacho mapafu yapo sawa Kama ya mtoto mchanga[emoji16][emoji16][emoji16].


Imebidi nifanye kazi Sana tu mwili uchangamke. Sauna, na full body Massage.

Now nipo poa except kikohozi na mafua kwa mbaali.

But hata oficine wengi wengi wanaumwa. Ila Kama tunapokezana vile
 
Back
Top Bottom