Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
asante sana broPoleni sana chief...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana broPoleni sana chief...
Usumbufu ndio activeness ya watoto aiseee....Hawajambo kabisa, kijamaa kisumbufu sana.
mafua tu dadaNini mbaya? Me na majirani zangu huku tuko wazima hata vikohozi sijavisikia...
Mafua yameninyasanyasa this week, but thanks God chafya zimeisha sasaWatanzania wengi sana wanaumwa huu mwezi nadhani ni kwa sababu ya hali ya hewa.hakuna mwanafamilia ambaye hajashikwa na mafua,kikohozi,bawasili,UTI,Tumbo,homa,kuongea mwenyewe barabarani,viungo na kutapika
Pole sana mwaliMafua yameninyasanyasa this week, but thanks God chafya zimeisha sasa
Unapaswa kushukuruUnaumwa peke yako usitusemee wala kutufokea.
Asante, niko okay now but my bibi gone with kikohozi cha only dakika 20 tu juzi😭Pole sana mwali
Duhh...Asante, niko okay now but my bibi gone with kikohozi cha only dakika 20 tu juzi[emoji24]
Ni kweli hata mie sikuwa serious, ukiwa salama ni jambo la kushukuru.Unapaswa kushukuru
Amen!Duhh...
Apumzike kwa amani.
Pole sana ndugu.
ulijuaje mkuu?Watanzania wengi sana wanaumwa huu mwezi nadhani ni kwa sababu ya hali ya hewa.hakuna mwanafamilia ambaye hajashikwa na mafua,kikohozi,bawasili,UTI,Tumbo,homa,kuongea mwenyewe barabarani,viungo na kutapika
je kuongea mwenyewe huku sauti inatoka kana kwamba unaongea na mwenzakoNini mbaya? Me na majirani zangu huku tuko wazima hata vikohozi sijavisikia...
Nipe kwenye phase 2 ya mseto.Ila kweli maana ninamaralia hatari toka juzi.
Utotoni umetumia mseto? U must be a kid.Aisee usinitajie hayo madonge yamenitesa sana utotoni.. sitaki hata kuyasikia wala kuyaona