Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

Yalinikuta hayo tarehe 24 december nilipoteza 50k kizembe sana tena kipindi natoa pesa ya kununua vocha kumbe nilidodosha hela hapo hapo dukani nliona wana hapo wanaangalia chini nikajua wanashangaa ✅air yangu kumbe wana wananihesabia miguu niondoke wachukue chao
 
Oya wakulungwa nyie mnadondoshea wap hizo hela zenu au humuhumu jf maana huku mtaani kilio ni kwamba siku hizi watu hawaokoti hela kama zamani
 
Back
Top Bottom