Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

Mimi sijui kama nitakuja kumiliki wallet naona kama nikidodosha wallet napoteza kila kitu au labda sioni umuhimu wa wallet sababu ya kumiliki vibuku buku
 
Mimi sijui kama nitakuja kumiliki wallet naona kama nikidodosha wallet napoteza kila kitu au labda sioni umuhimu wa wallet sababu ya kumiliki vibuku buku
Noma sana yani hata mwenyewe kutembea na wallet ndo msala utembee na simu ndogo+ kubwa + wallet hapo kupoteza nje nje dawa kutokuchanganya na simu
 
Weke hela kwenye soft wallet kama Mpesa etc, unaweza fanya malipo kwa LipaNAMBA
Oya sasa nimetoka kutoa hela kwa wakala nikapewa mpya nilivotoa simu zitakua zimeteleza tu
 
Mimi pia sipendi walet, hela huwa nawela mfuko tofauti na nnaoweka simu.

Na sina desturi ya kutembea na pesa mingi ambazo huna matumizi nazo eti emergency sijui.
 
Ni kweli, kuchanganya hela na simu kwenye mfuko mmoja huleta upotevu wa noti, kwani unapotoa simu mfukoni unaweza kubebanisha na na noti kisha noti zikadondoka chini bila kuziona pale unapochomoa mfukoni
 
Back
Top Bottom