Hii ya kuchanganya hela na simu mfuko mmoja, inatugharimu sana

Yalinikuta hayo tarehe 24 december nilipoteza 50k kizembe sana tena kipindi natoa pesa ya kununua vocha kumbe nilidodosha hela hapo hapo dukani nliona wana hapo wanaangalia chini nikajua wanashangaa ✅air yangu kumbe wana wananihesabia miguu niondoke wachukue chao
 
Oya wakulungwa nyie mnadondoshea wap hizo hela zenu au humuhumu jf maana huku mtaani kilio ni kwamba siku hizi watu hawaokoti hela kama zamani
 
Asante mkuu,kuweka ndani ya kava mi siwezi hii nawaachia wamama
Sasa kwa nini hujaweka kwa tahadhari, kama huna wallet weka mfuko wa nyuma ila uhakikishe husimami kwenye dala dala endapo upo kwenye msongamano wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…