Mimi sijui kama nitakuja kumiliki wallet naona kama nikidodosha wallet napoteza kila kitu au labda sioni umuhimu wa wallet sababu ya kumiliki vibuku buku
Mimi sijui kama nitakuja kumiliki wallet naona kama nikidodosha wallet napoteza kila kitu au labda sioni umuhimu wa wallet sababu ya kumiliki vibuku buku
Ni kweli, kuchanganya hela na simu kwenye mfuko mmoja huleta upotevu wa noti, kwani unapotoa simu mfukoni unaweza kubebanisha na na noti kisha noti zikadondoka chini bila kuziona pale unapochomoa mfukoni