Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hii ishu ya mgombea urais wa CCM inachekesha kwelikweli kisha inahuzunisha.
Yaani anakuwa mgombea rasmi wa Chama, halafu fomu ya kuomba kugombea anajaza baadae!
Ni kama movie inayochezwa kinyumenyume
1. Ni sawa na kunywa dawa za ARV mapema kabla ya kuikwaa ngoma
2. Ni sawa na kuanza routine za kumpeleka mke clinic kabla hajapata mimba
3. Ni sawa na kupewa cheti cha kuhitimu masomo halafu mitihani utafanya baadae
4. Ni sawa na kumzika mgonjwa akiwa hai, huku ukisema atafia humohumo kaburini
5. Ni sawa na kulipwa mshahara kamili kabla hujafanya kazi.
HIVI CCM Wanakijua walichokifanya kuwa ni Uwendawazimu au hawaelewi bado?