Maneno yamekua Mengi kama sio kamdomo ,je mnatokaje hapo mlipo jikwaa ,binafsi sio mwana ccm , ila kiu yangu kuona vyama imara ndani ya inchi ( namanisha ccm na Chadema)
Ili taifa lichangamke lazima kuwa na vyma imara ,makombra yapigwe sawasawa kwenye majukwaa ya kisiasa sio kutekana.
Mwenye jibu ccm anijibu what next , ukweli mmebolonga ,sasa mnatokaje hapa?
Mmevuja sheria na kanuni za chama chenu na ikumbukwe ccm ni chama cha umma ndo maana mnalipwa ruzuku ambayo inatokana na kodi za wananchi.
Tafadhali tupeni majibu what next ,vinginevyo hakuna kulalama hapa