Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
a
Linalosikitisha na kushangaza zaidi ni kuona watu wazima wakijipiga kifua na kujisifu jinsi walivyoweza kufanikisha zoezi hilo kidemokrasia!
Haikuishia hapo tu wakawatuma wanaodaiwa kuwa waandishi wabobezi kutumia zaidi ya saa nzima redio ya taifa kutetea na kusifia eti zoezi hilo!
Laiti hao waandishi wangetumika kusifia ukomavu uliooneshwa na Chadema katika kumpata mwenyekiti na viongozi wake waandamizi kidemokrasia!
Lakini wapi!
Unafiki unapofikia kiwango fulani, kitendo walichofanya CCM, pamoja na kuzua maswali lukuki na ya kusikitisha, hakishangazi hata kidogo.Hii ishu ya mgombea urais wa CCM inachekesha kwelikweli kisha inahuzunisha.
Yaani anakuwa mgombea rasmi wa Chama, halafu fomu ya kuomba kugombea anajaza baadae!
Ni kama movie inayochezwa kinyumenyume
1. Ni sawa na kunywa dawa za kunywa ARV mapema kabla ya kuikwaa ngoma
2. Ni sawa na kuanza kumpeleka mke clinic kabla hajapata mimba
3. Ni sawa na kupewa cheti cha kuhitimu masomo halafu mitihani utafanya baadae
4. Ni sawa na kumzika mgonjwa akiwa hai, huku ukisema atafia humohumo kaburini
5. Ni sawa na kulipwa mshahara kamili kabla hujafanya kazi.
HIVI CCM Wanakijua walichokifanya kuwa ni Uwendawazimu au hawaelewi bado?