johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Ukishindwa kumzuia unajiuzulu tu.Akiamrisha, AG ana uwezo wa kikatiba wa kumzuia Rais kutekeleza jambo analotaka?
Ni ujinga wa hali ya juu kuwa na sheria kama hii. Atashtakiwaje mtu ambaye hana uwezo wa kumzuia Rais kutenda kosa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mzee Mtei alijiuzulu japo ilikuwa ni nafasi tofauti!