Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

Congo inashindwaje ku train kikosi maalum cha askari 10,000 kilichojaa wazalendo halafu kiingie kazini pamoja na jeshi la kawaida?

Anyway, sisi maslahi yetu ni Burundi salama at any cost, sababu kuu ni kwamba tuna SGR ambayo tunataka ifanye kazi, ole wake atakayechezea amani ya Burundi, Burundi ni njia ya kupeleka mzigo DRCongo
Burundi pia ni nchi ya ahadi tuliyochaguliwa na Mwigulu
 
$500 kwa siku.....huku salary yako ipo ksma kawa..suala urudi salama tu...ukikaa miaka 3 si haba ukirudi hukosi 70m to 100m

Hizo ni hela ndogo sana. Lakini heri ya nusu shari kuliko shari kamili.
 
Congo inashindwaje ku train kikosi maalum cha askari 10,000 kilichojaa wazalendo halafu kiingie kazini pamoja na jeshi la kawaida?

Anyway, sisi maslahi yetu ni Burundi salama at any cost, sababu kuu ni kwamba tuna SGR ambayo tunataka ifanye kazi, ole wake atakayechezea amani ya Burundi, Burundi ni njia ya kupeleka mzigo DRCongo
Ukitaka Vita na Tanzania gusa Burundi.
 
Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa sadc,
Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani
hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye
wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao, huku sisi tukirudisha miili kwenye mabegi
na kuongeza yatima na wajane.
View attachment 2858228

hujaeleza anaepanga ni nani???
ukiona hivo ujue kuna sehemu mmezidiwa sehemu
 
Back
Top Bottom