Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

Hii ya Tanzania Kupeleka wanajeshi Congo imekaaje!?

Oya acha kutuona tunapoteza muda...

Unajua maokoto ya kulitumikia jeshi la muungano wa SADC au UN wewe?

Unataka tubaki kwenye makambi Bongo halafu tufaidike nini?
Mbona huwa mkienda mnarudi mnalalama migongo kwa kushinda na bullet
proof huku sheria za UN zikowataka mfanye hivyo ili likiwapata la
Kuwapata mlipwe vinginevyo hamlipwi kwani ni uzembe kutovaa bullet proof.
Kama ni officer mkuu malundo yapo yakushato sio sawa na wapiganaji
 
Kuwa mwanjeshi sijambo lakawaida.Wapo walio tamani kuwa wanajeshi ila walishindwa kuvumila mfunzo
 
Mbona huwa mkienda mnarudi mnalalama migongo kwa kushinda na bullet
proof huku sheria za UN zikowataka mfanye hivyo ili likiwapata la
Kuwapata mlipwe vinginevyo hamlipwi kwani ni uzembe kutovaa bullet proof.
Kama ni officer mkuu malundo yapo yakushato sio sawa na wapiganaji

Wamatumbi wamepigana hadi Asia (kimya kimya) operesheni za kiranja wa dunia na posho per day zilikuwa dola za kutosha kiasi cha mtu kuweza kuretire jeshi...

Sasa bullet proof ina uzito gani wa askari kualalamika kuumwa mgono, unajua uzito wa ile backpack askari anayoibeba, au mashine ikiwa full loaded na risasi za ziada...

Unapokuwa frontline bullet proof na garmets nyingine za vita ni lazima labda kama uwe na mpango wa kurudishwa home ukiwa kwenye boksi...
 
Wamatumbi wamepigana hadi Asia (kimya kimya) operesheni za kiranja wa dunia na posho per day zilikuwa dola za kutosha kiasi cha mtu kuweza kuretire jeshi...

Sasa bullet proof ina uzito gani wa askari kualalamika kuumwa mgono, unajua uzito wa ile backpack askari anayoibeba, au mashine ikiwa full loaded na risasi za ziada...

Unapokuwa frontline bullet proof na garmets nyingine za vita ni lazima labda kama uwe na mpango wa kurudi kwenye boksi...
Mimi sijawahi kuivaa wanao ivaa wanalalamika, mwaka mzima kushinda na bullet proof sio mchezo.
Wakati bongo umeeacha Miradi yako
 
Kazi namba moja ya askari ni kulinda raia na mipaka, askari haogopi kufa wala hizo patashika za uwanja wa vita...
Yeah theoretically, iko hivyo,
Mbona kuna Yule Askari (officer) wetu alikimbia akaacha mzinga kule Sudan I, na juzi tu
hapa mtwara watu wamekimbia.
Hata mchyngaji anayekuhubiria habari za kwenda mbinguni hataki kuwa wa Kwanza kwenda
 
Hivi nyie lenu ni lipi hasa? Saudia hamtaki waende, Israel hamtaki, manesi nchi za kiarabu hamtaki, Congo hamtaki. Mama naye ni binadamu ipo siku atawachoka.
 
Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa sadc,
Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani
hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye
wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao, huku sisi tukirudisha miili kwenye mabegi
na kuongeza yatima na wajane.
View attachment 2858228
Kwani kazi Yao ni nini? Tzn ndio inaaminika hapa Africa
 
Yeah theoretically, iko hivyo,
Mbona kuna Yule Askari (officer) wetu alikimbia akaacha mzinga kule Sudan I, na juzi tu
hapa mtwara watu wamekimbia.
Hata mchyngaji anayekuhubiria habari za kwenda mbinguni hataki kuwa wa Kwanza kwenda
Hivi hiyo ya mtwara ni kweli walikimbia au ulikua uzushi wa kigogo?
 
Hivi nyie lenu ni lipi hasa? Saudia hamtaki waende, Israel hamtaki, manesi nchi za kiarabu hamtaki, Congo hamtaki. Mama naye ni binadamu ipo siku atawachoka.
Itakuwa na mtindio wa ubongo, mimi kutotaka waende Congo umenijumlisha(generalize) kwenye
kila asie taka lake.
Between me natoa tu caution japo sio kazi yangu, sio mbaya kuutumua Uhuru
huu wa maoni kutoa maoni yangu.
Lastly huyo sio mama ni raisi na anajua nini cha kufanya nitoe maoni au nisitoe
hasa kwa hili Jambo.
 
Congo inashindwaje ku train kikosi maalum cha askari 10,000 kilichojaa wazalendo halafu kiingie kazini pamoja na jeshi la kawaida?
Msingi wa amani ya kudumu nchini Congo DRC (Zaire) uliharibiwa na Watawala wa nchi hiyo tangu miaka mingi iliyopita, Dikteta Mobutu Sesesseko ndiye mtu wa kulaumiwa zaidi kwenye suala hili la ukosefu wa amani na utulivu nchini Congo.
Badala ya kuunda Mifumo Imara ya kitaasisi kwa ajili ya Uongozi na Utawala wa nchi, yeye Mobutu aliunda Magenge hatari ya kuwaangamiza Wapinzani wake, hali iliyowafanya Vijana wa nchi hiyo kukosa hamasa ya kulitumikia taifa lao na kukosa nafasi za kujiunga na Majeshi ya Serikali ili kulinda nchi yao. Mpaka leo Congo DRC haina Jeshi Imara la Kitaifa kwa ajili ya ulinzi wa nchi yao na mali zao.
 
Back
Top Bottom