Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
- Thread starter
- #41
Ile kwa Rwanda imekuwa rahisi kwa sababu wako mbali na nyumbaniHilo Chaka la Mozambique, soldiers wa Rwanda ndio Chaka lao la kupigia maokoto. Ila wamepiga kazi aisee, Cabo delgado wameweza kuituliza.
hawezi kufanya ambush zao