Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
- Thread starter
-
- #101
Monusco ndio wale waliopingwa na raia juzi Kati ukienda chiniMbona tunao wengi tu kivu Bukavu na Goma ....? Miaka zaidi 8 sasa au zaidi ?? UN Mission wanaita Monusco
Maana yake nini mtalii watu wanakufa hukoMonusco ndio wale waliopingwa na raia juzi Kati ukienda chini
ya monusco ni kama mtalii
Kwanini EACRF tshekedi amewafukuza na Kuwaita sadc!?Maana yake nini mtalii watu wanakufa huko
Hiyo ndio peacekeeping
Hayo ni maamzi ya waasi wenyeweHalafu muda wao walinda amani ukiisha waasi nao watakuepo au watakua wamehama?
Burundi pia ni nchi ya ahadi tuliyochaguliwa na MwiguluCongo inashindwaje ku train kikosi maalum cha askari 10,000 kilichojaa wazalendo halafu kiingie kazini pamoja na jeshi la kawaida?
Anyway, sisi maslahi yetu ni Burundi salama at any cost, sababu kuu ni kwamba tuna SGR ambayo tunataka ifanye kazi, ole wake atakayechezea amani ya Burundi, Burundi ni njia ya kupeleka mzigo DRCongo
$500 kwa siku.....huku salary yako ipo ksma kawa..suala urudi salama tu...ukikaa miaka 3 si haba ukirudi hukosi 70m to 100m
Ukitaka Vita na Tanzania gusa Burundi.Congo inashindwaje ku train kikosi maalum cha askari 10,000 kilichojaa wazalendo halafu kiingie kazini pamoja na jeshi la kawaida?
Anyway, sisi maslahi yetu ni Burundi salama at any cost, sababu kuu ni kwamba tuna SGR ambayo tunataka ifanye kazi, ole wake atakayechezea amani ya Burundi, Burundi ni njia ya kupeleka mzigo DRCongo
Habari zinaonyesha Tanzania tunapeleka wanajeshi Congo kwa mwamvuli wa sadc,
Na kama tujuavyo wanajeshi watanzania pekee ndio huwa kwenye wakati mgumu kwani
hupangiwa sehemu korofi hasa njia za kupita waasi huku wengine wakijipangia sehemu zenye
wingi wa madini na kuishia kutajirisha nchi zao, huku sisi tukirudisha miili kwenye mabegi
na kuongeza yatima na wajane.
View attachment 2858228
Hiyo ya kupanga fuatilia na wewehujaeleza anaepanga ni nani???
ukiona hivo ujue kuna sehemu mmezidiwa sehemu