Hii ya watu DSM kukaa kimakabila ni uoga wa maisha au ndio mbinu za kulikabili jiji?

Wamakonde, Wandengereko na Wangindo wameifanya Mbagala yote kuwa yao
Warangi inaonekana wanataka Kuuteka Mji wa Kawe kwani ni kama vile Kondoa yote imehamia
Wanyakyusa na Tabata yao
Wazaramo wameshajimilikisha kabisa Chanika
Wahaya na Tegeta Masaiti ni kama vile Kidole na Pete
Wazanaki na maeneo ya Mbweni hadi Mabwepande nadhani wana Jambo lao huko
Wasukuma na Mapori ya Kiluvya wameshaingia Mkataba labda pengine kwa Ulafi ( Umelo ) Wao wanapenda sana kuwa Jirani na Vichaka au Vyoo
Kimsingi Darisalama ni ya wazaramo, huko Chanika ni sehemu ya mashamba yao wanakata vipande kuwauzia wahamiaji.

Miaka ya nyuma wilaya ya kisarawe ilikuwa inafika mpaka Gongo la mboto, ndio sababu kuna Wazaramo home town kwao ni gongo la mboto, akina Ditopile Mzuzuri home town kwao ni Kinyerezi shuleni pale kwenye zahanati, hapo ndio nyumbani kwao kabisa na Ditopile wa Mzuzuri.
 
Wagogo vingunguti....
Wazigua/Wanguu wamejaa Makuburi/Gereji...

Makabila mengi wameingia mjini wakiwa na hofu ya maisha wakaona walundikane in pockets ili kusaidiana chumvi na kuanzisha vikundi vya kufa na kuzikana.

Kwahyo issue kubwa hapo ni umasikini na hofu ya "nikikwama au kupatwa na jambo nani atanisaidia?" Issue kama za kusafirisha misiba nayo imefanya wakae pamoja ili kuchangishana
 
Nyama unayokula hapa dsm inatoka wapi?
Ookay
Nilikuwa najua inatokea vingunguti na kule maeneo ya kuelekea Moshi bar kuna machinjio sijui panaitwaje au ndio huko mkuu
 
Hata ukienda South Africa, Iwe Pretoria au Johannesburg waafrica wanaishi ki-nchi...unakuta kuna mitaa ya Wazambia, Wamalawi, Watanzania, WaKenya, Wanaigeria, Wazimbabwe, Wasomali etc....ni vile watu wanapenda kukaaa na watu wanaojuana...hata kibongo bongo ukiwa jela matabaka ya kikanda na kimakabila yapo...huwezi kukaa na watu wa Morogoro wakati wewe ni wa Tanga au Mbeya au Kigoma...utakaa na wa kwenu...iko hivo yaani
 
Wamakonde, Wandengereko na Wangindo wameifanya Mbagala yote kuwa yao
Warangi inaonekana wanataka Kuuteka Mji wa Kawe kwani ni kama vile Kondoa yote imehamia
Wanyakyusa na Tabata yao
Wazaramo wameshajimilikisha kabisa Chanika
Wahaya na Tegeta Masaiti ni kama vile Kidole na Pete
Wazanaki na maeneo ya Mbweni hadi Mabwepande nadhani wana Jambo lao huko
Wasukuma na Mapori ya Kiluvya wameshaingia Mkataba labda pengine kwa Ulafi ( Umelo ) Wao wanapenda sana kuwa Jirani na Vichaka au Vyoo

Badae tutalandanisha wakazi hawa na maendeleo ya makazi yaoooo (maji, umeme, shule, sehemu za kula bataa/mbuzi, usalama etc )
 
Kimsingi Darisalama ni ya wazaramo, huko Chanika ni sehemu ya mashamba yao wanakata vipande kuwauzia wahamiaji.

Miaka ya nyuma wilaya ya kisarawe ilikuwa inafika mpaka Gongo la mboto, ndio sababu kuna Wazaramo home town kwao ni gongo la mboto, akina Ditopile Mzuzuri home town kwao ni Kinyerezi shuleni pale kwenye zahanati, hapo ndio nyumbani kwao kabisa na Ditopile wa Mzuzuri.
Mwisho wa rami / pugu kwa lala pale zamani nakumbuka hao jamaa walikuwa wwkutosha. Huko kwao aisee. Ila huwa wanakimbia Mji hao. Wanaogopa maendeleo badala ya kuyakimbilia wanayakimbia.

Sasa hivi watakuwa wameshafika kisemvule au masaki kabisa huko
 
Hata ukienda South Africa, Iwe Pretoria au Johannesburg waafrica wanaishi ki-nchi...unakuta kuna mitaa ya Wazambia, Wamalawi, Watanzania, WaKenya, Wanaigeria, Wazimbabwe, Wasomali etc....ni vile watu wanapenda kukaaa na watu wanaojuana...hata kibongo bongo ukiwa jela matabaka ya kikanda na kimakabila yapo...huwezi kukaa na watu wa Morogoro wakati wewe ni wa Tanga au Mbeya au Kigoma...utakaa na wa kwenu...iko hivo yaani
Uko vzr Mkuu.
 
Mwisho wa rami / pugu kwa lala pale zamani nakumbuka hao jamaa walikuwa wwkutosha. Huko kwao aisee. Ila huwa wanakimbia Mji hao. Wanaogopa maendeleo badala ya kuyakimbilia wanayakimbia.

Sasa hivi watakuwa wameshafika kisemvule au masaki kabisa huko
[emoji23][emoji23][emoji23]Maneromango mbele mbele huko
 
Sio bongo tu usishangae hata ulaya na Us

Kila jamii inaishi yenyew huko

US mji wa Texas mtaa wa el paso wanashi jamii ya walatini tu na licha wapo huko zaida ya miaka 40 but kiingereza kwao ni tabu licha ya kuwa raia wa marekani

Hata German huwezi kuta turk societies wanaishu na warusi,hata siku moja

Njoo Belgium wacongo na raia wa Syria hawachanganyiki

So hiyo in kawaida tu wala usihangaike kutafuta majibu

Yan mm mchaga niishi na mzaramo au msukuma ili anisaidie nn? Wakat hutuna common interest zinazotuunganisha
 
Ndo huko mkuu..
Kuna mshkaji wangu ni BODABODA huko huwa ananiambia yeye SAA 10 usiku anazuka hapo mahala anatandika Nyama Choma za kufa mtu na ugali.

Hiyo ni sehemu nzuri ya kutalii utalii wa ndani usio rasmi. Kuna ziku ntazama usiku hapo nitwange supu za wagogo hao.
 
Mwisho wa rami / pugu kwa lala pale zamani nakumbuka hao jamaa walikuwa wwkutosha. Huko kwao aisee. Ila huwa wanakimbia Mji hao. Wanaogopa maendeleo badala ya kuyakimbilia wanayakimbia.

Sasa hivi watakuwa wameshafika kisemvule au masaki kabisa huko
Bado hujaelewa somo, huko wilaya ya kisarawe ndio uzaramoni kwenyewe kulikobakia, kwa sasa Darisalama ni mseto.

Njia ya Kilwa road kuanzia mtoni mpaka Rufiji ni kwa wandengereko na wamatumbi na wangindo, na stand yao ya mabasi ni Temeke sudan na mbagala.
 
Nimekupata Mkuu.
Ila hapo Kinyerezi dispensary naona kama jamaa walishakimbia. Huko sasa naona kama kumejaa mchanganyiko. Labda enzi zile daladala zinaishia segerea.
 
Wagogo kwa kuchinja ng’ombe kwenye mnada wa Pugu
Wagogo kulinda magofu(mapagale) kimara/mbezi

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe unawasema wakwe zangu walinda mapagala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Sio bongo tu usishangae hata ulaya na Us

Kila jamii inaishi yenyew huko

US mji wa Texas mtaa wa el paso wanashi jamii ya walatini tu na licha wapo huko zaida ya miaka 40 but kiingereza kwao ni tabu licha ya kuwa raia wa marekani

Hata German huwezi kuta turk societies wanaishu na warusi,hata siku moja

Njoo Belgium wacongo na raia wa Syria hawachanganyiki

So hiyo in kawaida tu wala usihangaike kutafuta majibu

Yan mm mchaga niishi na mzaramo au msukuma ili anisaidie nn? Wakat hutuna common interest zinazotuunganisha
Huwa naona watu wakikaa kindugu huwa unafiki majungumajungu yanakuwa mengi hata kuhujumiana ili msizidiane kiuchumi.

Labda hao wazungu kwa sababu wamezamia us tangu zile za vita vya ulaya ya miaka 30.

Kila nimejifunza kitu Mkuu kumbe hii kitu ni grobal standard
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe unawasema wakwe zangu walinda mapagala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Hahaha
Mkuu unawakwe watata.

Nasikia kuna baadhi waliopinda huwa wanaiba ng'ombe zetu za kisiasa majumbani. Wanatuvisu tudogo tukali balaa. Ng'ombe anachinjwa na kukatakatwa dakika 0 tu unakuta Ngozi na zoezi linafanyikia hapo hapo kwako kimyakimya.
Hizi story huwa nazisikia kitaa
 
Kuna mshkaji wangu ni BODABODA huko huwa ananiambia yeye SAA 10 usiku anazuka hapo mahala anatandika Nyama Choma za kufa mtu na ugali.

Hiyo ni sehemu nzuri ya kutalii utalii wa ndani usio rasmi. Kuna ziku ntazama usiku hapo nitwange supu za wagogo hao.
mkuu wajaluo wenzangu huko mjini hawapo kumbe
 
Back
Top Bottom