matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
- Thread starter
- #41
Kule ni kiwanda cha panyaroadAisee nilikwenda pale Kiwalani dereva wa Uber alikuwa muoga hatari na mimi ndio mara yangu ya kwanza kufika. Manake tokea naondoka nyumbani naambiwa ikifika usiku huko unakula kelebu na kwara na kuporwa. Ila nilichokiona vigodoro mwanzo mwisho
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Hahahahaha nasikia amiri jeshi wao Mkuu alitokea huko enzi hizo wako fire