O29
Member
- May 30, 2026
- 90
- 195
Wazalendo
Hatuhitaji sababu nyingine ya kuwatoa wauaji madarakani, kama ulikuwa hauamini juu ya utekaji labda ulikuwa ukiona watu wanajiteka wenyewe Kwa wenyewe basi itoshe kusema kuwa hatuna sababu nyingine ya kuwatoa Hawa wahuni madalakani
watu zaidi ya 500 wameuawa na wamethibitisha kuwa wamewaua , nafikiri hatuhitaji sababu nyingine ya Hawa jamaa kuacha kutuongoza ni ridhaa yetu waendelee kutuongoza au waache kutuongoza na sio tuishie hapo tu ," wanatakiwa walipie Kwa kile walichofanya,"
Kama haujapoteza ndugu Yako wa damu kwenye maandamano ni akili Yako haijafunguka tu aliyeuawa ni ndugu Yako wa damu kabsa na una haki ya kumpambania Kwa Hali yeyote Ile na kuuliza kwanini? Mlimuua na kuwaambia kuwa sitaki kuongozwa na wauaji, hayakukuwa mauaji ya Halali na wataendelea kutuua
Cap; sijakwambia au sijasema uandamane uvunje Mali za watu na chochote ambacho unahisi utafanya uhalibifu ila unaweza kusema sitaki kuongozwa na MABAZAZI ambao waliua ndugu zetu O29 bila hatia yeyote na mauaji mengi kiasi Cha watu 500 na zaidi
nitapenda nisikie raia wema tukisema hatutaki kuongozwa na utawala huu wa KIBAZAZI, kwa umoja wao wote, mpaka aliyefyatua risasi sio rafiki Tena Kwa nchi ya TANZANIA
Binafsi sitaki kuongozwa na MABAZAZI walioua watu zaidi ya 500, Kwa kisingizio Cha walikuwa wanataka kupindua nchi , watu ambao hawakukua hata na kiwembe mkononi na wakafyatuliwa silaha za moto
M/Mungu awashushie laana ya milele na Kwako M/Mungu Mimi binafsi sijawasamehe hata wakikuomba msamaha na kupiga magoti na kusaga meno mbele Yako, hii haki utulipe saa na mda utakaopendezwa aaamin
aaamin