Hii Yanga iliyocheza na Ken Gold ya Chunya ndio inayolilia ubingwa?!

Hii Yanga iliyocheza na Ken Gold ya Chunya ndio inayolilia ubingwa?!

utakua mgeni na mchezo wa soko ile timu iko ligi daraja la kwanza nafasi ya 3 sio ya kubeza

simba alitolewa na green worias unajua walikuwa daraja gani?

Mpira ungekuwa hivo leceister city asinge chukua ubingwa maana hakuwa level ya man u, man city, ama liva
Hapa tunachoongelea zaidi ni namna ya uchezaji wa ile timu na si daraja lake, Pamoja na kwamba wako daraja la kwanza ila wachezaji wake wanakosa vitu vingi sana, control tu shida. Kumbuka mlivyokutana na Gwambina ya daraja la kwanza FA msimu uliopita, au ihefu ya daraja la kwanza mechi dhidi ya mbao.
 
kuwa daraja la kwanza si kigezo cha kushindwa kucheza yanga kacheza sana ana shot on target zaid ya 5 unasemaje namna ya uchezaji wake si mzuri

yanga aliye cheza na hii timu si ndo aliye cheza na simba raundi ya kwanza vp uchezaji wake alipigwa ngap?
 
utakua mgeni na mchezo wa soko ile timu iko ligi daraja la kwanza nafasi ya 3 sio ya kubeza

simba alitolewa na green worias unajua walikuwa daraja gani?

Mpira ungekuwa hivo leceister city asinge chukua ubingwa maana hakuwa level ya man u, man city, ama liva
Sijaelewa.. kwamba!?
Mathalani nikisema Al Ahly tutampiga kwake..maana hakuna ukubwa wa timu inakuwa nimekupata sawa sawa kulingana na maelezo yako!?
 
Sijaelewa.. kwamba!?
Mathalani nikisema Al Ahly tutampiga kwake..maana hakuna ukubwa wa timu inakuwa nimekupata sawa sawa kulingana na maelezo yako!?
cha ajabu kipi mkuu vita mwaka jana kakupiga 5 vp mwaka huu ujamgalagaza kwake hata huyo al ahly anaweza kufa kwake (naomba isitokee) naomba na vita aje akugalagaze huku na el merik pia daaah ntafurah sana
 
yanga hucheza kufuatana na mdundo jifanye hamnazo kama nyau uone unapigwa kimoko tu kama hawa jamaa

mwezi fabruary mwishoni yanga alikuwa kapata mfululizo wa sare akasema ni sare za harusi wajua kilicho tokea march 8

endelea kulopoka may si mbali
Hebu Tupe matokeo mfululizo ya team hizi katika misimu 3 au minne iliyopita mechi zote walizocheza tuone hivyo vimoko umempiga Mara ngapi ili tuamini maneno yako
 
MAZUNGUMZO
Eng : Unamtaka Dulla Mbabe au Twaha Kiduku
HB : Sijakuelewa Boss
Eng : Si umeanza kucheza masumbwi??
HB : Hapana Eng ni shetani tuuu
Eng : Sasa ngumi ile ulitaka kumvunja Mgongo
au kumshtua tuu
HB : Nilitaka nimvunje mgongo
Eng : Ujue yule uliyempiga hata hakushtuka?
HB : Basi itakua ana mgongo Mkubwa maana
nilikaza meno sana wakati naachia fataki
Eng : (Kimoyomoyo) Lazima nifuatilie huyu
analala na nani chumban kashaanza kubadilika
tabia
Eng : Lakini wewe hukua na tabia hizo mwanzoni
imekuaje??
HB : Kwenye nembo ya klabu nimeona kuna
picha ya mtu anapiga ngumi, nikajua
inaruhusiwa
Eng : (Kimoyomoyo) Akili zishaaanza kumpugua
uyu
Eng : Halafu ulivyoonyeshwa kadi nyekundu
ukawa unabisha nini??
HB : Nilikua nasumbua mahakama tuu
Eng : Daaah hapa Tumepigwa
Eng : Sasa iyo tabia iiishie leo usije ukampiga
Ngumi Juma Nyoso au Nurdin Chona au Kelvin
Yondan, au Josh Onyango au Yusuph Mlipili
utarudi kwenu maiti
HB : Hao makatili eee
Eng : Sio Makatili ni Majangili
Just for fun Guys
 
Msikilize Sunday Manara Computer

FT Yanga 1 - Ken Gold FC kutoka Chunya
Goli la penati

Nimejutia muda wangu,nimetazama mchezo mbovu kabisa wa timu inayoiita timu kubwa dhidi ya timu ndogo kutoka Chunya.

Siku ya jana msemaji wao Nugaz Antonio aliwaambia mashabiki hii timu itakula nyingi. Achana na idadi ya goli nazungumzia kiwango kibovu cha timu ikiwa full mkoko. Kama ndio mara ya kwanza kuiona Yanga unaweza kudhani ni timu ya mkoa.

Jana watazamaji wa Azam walishuhudia kiwango safi Simba Sc ikitumbuiza dhidi ya African Lyon. Licha ya kuweka kikosi cha pili lakini ilikuwa show show.

Ndugu zangu Yanga mjiandae kisaikolojia. Lolote likitokea msishikane uchawi.

Kiufupi ni timu inayohitaji huruma ya marefa

Wewe huwa huchoki kuizungumzia Yanga....unasahau nyie mikia mliwahi kutolewa kwenye mashindano haya haya na timu ya daraj la tano au sita...hopeless kabisa...Yanga inakutesa Sana...
 
Wewe huwa huchoki kuizungumzia Yanga....unasahau nyie mikia mliwahi kutolewa kwenye mashindano haya haya na timu ya daraj la tano au sita...hopeless kabisa...Yanga inakutesa Sana...
Tunajadili mashindano yanayoendelea sasa,historia haiwasaidii kwa sasa nyie vidimbwi
 
Msikilize Sunday Manara Computer

FT Yanga 1 - Ken Gold FC kutoka Chunya
Goli la penati

Nimejutia muda wangu,nimetazama mchezo mbovu kabisa wa timu inayoiita timu kubwa dhidi ya timu ndogo kutoka Chunya.

Siku ya jana msemaji wao Nugaz Antonio aliwaambia mashabiki hii timu itakula nyingi. Achana na idadi ya goli nazungumzia kiwango kibovu cha timu ikiwa full mkoko. Kama ndio mara ya kwanza kuiona Yanga unaweza kudhani ni timu ya mkoa.

Jana watazamaji wa Azam walishuhudia kiwango safi Simba Sc ikitumbuiza dhidi ya African Lyon. Licha ya kuweka kikosi cha pili lakini ilikuwa show show.

Ndugu zangu Yanga mjiandae kisaikolojia. Lolote likitokea msishikane uchawi.

Kiufupi ni timu inayohitaji huruma ya marefa

Huyu Bwana aitwaye SUNDAY MANARA nilimshuhudia wakati nikiwa mtoto mdogo nikiwa shule ya msingi. Kwa upande wangu nimemfahamu tangu 1972 na hasa 1973 na kuendelea!! Alicheza pamoja na kina Sembuli, Kitwana Manara, na wengineo wa enzi hizo!! Huyu Bwana alikuwa balaa!! Mimi ni Simba damu na post zangu mnazifahamu ninavyokejeli utopolo!! Lakini huyu Bwana aitwaye Sunday Manara siwezi kuthubutu kumwita Utopolo hata kidogo!! Alibatizwa jina la compyuta kwa jinsi alichokuwa anautawala mpira na kupiga chenga walinzi kama anavyataka!! Kwa bahati mbaya Sana hukukuwa na TV enzo hizo lakini kulikuwa na wataalamu Sana wa kutangaza mpira kwenye Redio!! Heshima yako mzee Sunday Manara! Nimefurahi Sana kusikia ukizungumzia soka kwa uhalisia wake bila kuweka unazi!!
 
Back
Top Bottom