Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Unaisemea hii yanga ilibebwa juzi na mbereko au....ni hii yanga mbovu au kuna nyingineSimba inawatoto
Tuone Leo kama Ngoma ya mtoto inakesha tafadhari saa tatu kamili usiku usikimbie Uzi wako
Kaka ntakujibu saa tatu kamili usiku please uwe na MBUnaisemea hii yanga ilibebwa juzi na mbereko au....ni hii yanga mbovu au kuna nyingine
Hivi yanga kunawazee gan? Wazee ni wawil tu chama na mkude. Simba wazee watatu kapombe Mohamed husen na mzamiru au kinapacome wakipaka brich unafikil mvi?Hapo vipi!
Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.
Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.
Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Lazima.mpigwe nyingi.na Simba leoKaka ntakujibu saa tatu kamili usiku please uwe na MB
Unaisemea hii yanga ilibebwa juzi na mbereko au....ni hii yanga mbovu au kuna nyingine
Zilikiwa nne mshukuruni refa na msika Kibendera ila lile yale magoli ya Pacome na Aziz yote magoli plus tuta la Aziz.Hapo vipi!
Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.
FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana. Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...www.jamiiforums.com
Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.
Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Kxma wew..mbebebwa Simba imenyimwa penatiWe mrembo nikujibu au umelala??
AiseeeeeeKxma wew..mbebebwa Simba imenyimwa penati
Leo ndio nimeona umuhimu wa VAR Yanga wamekataliwa magoli mawili na penati mbili.Kxma wew..mbebebwa Simba imenyimwa penati
Naunga mkono hojaLeo ndio nimeona umuhimu wa VAR Yanga wamekataliwa magoli mawili na penati mbili.
Umekalia Chupa?Unaisemea hii yanga ilibebwa juzi na mbereko au....ni hii yanga mbovu au kuna nyingine
Umekalia ekzosti alafu unatia huruma yaan umekalia tupa huruma sana kamoja ka kuondoa uchovu km hujachokojoa utakojoa njiani ukiwa unaelekea kwenuYanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.
Na Maji mkaomba na mkanyimwa, kwani we Hauogopi?Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Wewe shoga tulikwambia mapema ila ukatingisha matako tu.Hapo vipi!
Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.
FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana. Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...www.jamiiforums.com
Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.
Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Mwakitalemwa kabisa Wewe unakimbia uzi km Muhasibu OKW BOBAN SUNZUInawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.