Hii Yanga ina wazee lazima ifungwe 4 bila na Simba

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vipi!

Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.

Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.

Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
 
Hivi yanga kunawazee gan? Wazee ni wawil tu chama na mkude. Simba wazee watatu kapombe Mohamed husen na mzamiru au kinapacome wakipaka brich unafikil mvi?
 
Tunasubiria Tajiri amtambulishe hadi naniliu maana mtapigwa mchakae nyie makolo
 
Hapo vipi!

Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.

Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.

Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Zilikiwa nne mshukuruni refa na msika Kibendera ila lile yale magoli ya Pacome na Aziz yote magoli plus tuta la Aziz.
 
Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Na Maji mkaomba na mkanyimwa, kwani we Hauogopi?
IMG-20240808-WA0049.jpg
 
Hapo vipi!

Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC.

Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa.

Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Wewe shoga tulikwambia mapema ila ukatingisha matako tu.
 
Back
Top Bottom