Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je?
Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo team zisije jichanganya kuja cheza na Yanga. Zitaumbuka vibaya sana. Wekeni huu uzi kwa ajili ya kumbukumbu.