Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

Kwanza wajitahidi kuvuka na kuingia robo fainali, kwenye kombe la klabu bingwa ya afrika la mwaka huu (2024/2025).
 
Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je?

Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo team zisije jichanganya kuja cheza na Yanga. Zitaumbuka vibaya sana. Wekeni huu uzi kwa ajili ya kumbukumbu.
You are talking of impossibility
Yanga itakutana wapi na Liverpool
 
Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je?

Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo team zisije jichanganya kuja cheza na Yanga. Zitaumbuka vibaya sana. Wekeni huu uzi kwa ajili ya kumbukumbu.
Iwafunge kwanza tabora
 
Back
Top Bottom